Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakuonaHaha, ila hizi couples huwa zinainogesha JF to the extent.
Naombea nisije fanyiwa yako nikaachwa palestina na kanzu yangu
HehehehehHaha, ila hizi couples huwa zinainogesha JF to the extent.
Naombea nisije fanyiwa yako nikaachwa palestina na kanzu yangu
Mambo Paulina!hahahahahahahahahah
Amichi yuu moree nilikuona saa zetu zile sa tisa ya usiku nkaogopa kukushtua mana nilikua mwenye usije ukantokea[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Anatumia kijiko kukula au mkono tu au kisu na uma?Naliwa na Nyani Ngabu mubashara
Kwahiyo ulishafanyiwaZamani watu washafanya yao
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23]
saint ivugaa me namjua huyu tunakaa mtaa mmoja wananyamala ila kila siku ananipiga fiksi tusionane
Kazi hii ingekuwa binafssi, hakika nisingekuita. Yeye mwenyewe alishuhudia ya kwamba wewe u mtu hatari kwake anakuogopa[emoji23][emoji23]
Naona unatusema mimi na miss natafuta , acha Tabia yako mbaya!Hawajuani kwa sura,hata picha tu,hawajawahi hata kubadilishana namba isitoshe hata uko PM hawajahi kuchati...Kinachoshangaza unakuta mtu anakumaindi akiona unachombeza kwa anayemuita mpenzi wake yaani hata papuchi hajawahi onja unakuta lijamaa linamsifia demu wake humu kama linamjua vizuri na nyie wanawake mnajifia nini unakuta lijamaa hata hujawahi kuliona...!! Kama umejoin JF hivi karibuni zisikutishe hizi couple ni majigambo tu wewe yeyote ruka nae....!!
Baba hutakiwi kuuliza maswali. We subiri uletewe mkwe.
Mbona una mcc daby?