Vituko vya couple za JamiiForums

Vituko vya couple za JamiiForums

Yani katika mitandao ambayo huwa nikishika simu wa kwanza ni humu maana kila unachojisikia kupost kinakuwa fresh I tyuu.

Hata nikisema anko magu nimesoma nae pale shule ya chato primary tena tulikuwa tunapenda kula mihogo ya kuchemsha nae hakuna tatzo kabsa.
 
Alikuwa anapanda ungo wake kwenda kwa wanga wenzie waende kuwanga makaburini, bora hukumstua.

Amichi yuu moree nilikuona saa zetu zile sa tisa ya usiku nkaogopa kukushtua mana nilikua mwenye usije ukantokea[emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
saint ivugaa me namjua huyu tunakaa mtaa mmoja wananyamala ila kila siku ananipiga fiksi tusionane
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unacheza na mwananyamala
Ww hee hee tena uckute mko
Hapo kwa hadja kopa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Ngoja nami ni nyapie nyapie watoto wa jf nipate couple.

Hizi couple wanalipia kodi mkuu au bure?
 
Hawajuani kwa sura,hata picha tu,hawajawahi hata kubadilishana namba isitoshe hata uko PM hawajahi kuchati...Kinachoshangaza unakuta mtu anakumaindi akiona unachombeza kwa anayemuita mpenzi wake yaani hata papuchi hajawahi onja unakuta lijamaa linamsifia demu wake humu kama linamjua vizuri na nyie wanawake mnajifia nini unakuta lijamaa hata hujawahi kuliona...!! Kama umejoin JF hivi karibuni zisikutishe hizi couple ni majigambo tu wewe yeyote ruka nae....!!
Naona unatusema mimi na miss natafuta , acha Tabia yako mbaya!

Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom