Vituko vya dada wa kazi

Vituko vya dada wa kazi

Wee siku fanya shopping then sema naenda kazini nitachelewa alafu zuga hata na camera moja mlangoni na sitting room
UTANISHUKURU

Mh sasa nikija kugundua mimi nahsira mbaya si unajua sisi watu wenye hasira za kulia mpaka nimuweke arama ndio natulia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukishajua tatizo lipo wapi we ondoka kavuruge akili kidogo hata na bia 2
Ukirudi tujuze tukupe ushauri
Maana bado anajua ku_care
 
Sio kwamba watu tuna pesa hili ukipata hapa kati ka 50k unakabajeti unaenda nunua kile kitu kimepungua ndani hili hapa kati uangaike na mambo madogo madogo
Kwahiyo ni nyama na maziwa lita 5 tu au kuna kingine mkuu,,
 
Ukishajua tatizo lipo wapi we ondoka kavuruge akili kidogo hata na bia 2
Ukirudi tujuze tukupe ushauri
Maana bado anajua ku_care

Hila ananiuzi sana ila ukimwambia leo tunatoka ase atafanya usafi nyumba vizuri watoto watapendeza hila alinitia aibu siku ya mwaka mpya tumeenda kwa uncle wetu huk walichoma nyama sasa yeye akaiba nyama kumbe watu wamemuona

Nikaja kumuuliza kwanini umefanya hivyo et kaka niliweka hili nije nikule nyumbani dah niliishiwa pozi nikaenda chumban kucheka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kabila gani
Wataje
 
naomba utoe nyama hapo kwenye friji sio hiyo nilioleta ijumaaa hile ya wiki iliopita naona itaharibika
Hii sio nyama huu ni mzoga, ndio maana dada alimwaga huyo Dada ni Genius unamlaumu bure tu kuhusu nyama yupo sahihi, nyama inaliwa siku hio hio sio unaivundika wiki nzima kusema itaiva kwenye friji
 
Kwahiyo ni nyama na maziwa lita 5 tu au kuna kingine mkuu,,

Dah sasa unataka kusema nitaje vyote

Af juzi nilienda mwenyewe sokoni nikabeba kikapu kama cha mzee jangala watu wakawa wananicheka kuna ubaya mimi kubeba kile kikapu?

Mimi nilibeba kuepuka gharama za kununua migmfuko
 
Cheap labour wengi akili zao zipogo hvyo na masikio yao hayasikiagi vizur

Nimeshagombana nao sana sio wa kiume au wa kike wote wapuuz puuz tu

Pamoja na kwamba huwa naongea kama niko naviaz mdomoni lakin huwa nawaambia kama hujanielewa niulize nikueleweshe kuliko kufanya vitu ambavyo sjakuelekeza
 
Hii sio nyama huu ni mzoga, ndio maana dada alimwaga huyo Dada ni Genius unamlaumu bure tu kuhusu nyama yupo sahihi, nyama inaliwa siku hio hio sio unaivundika wiki nzima kusema itaiva kwenye friji

Sio mzoga bhna nilikuwa nataka kuchoma hile shida wote hatupendi nyma kivile labda uchome ndioinaliwa sana
 
Cheap labour wengi akili zao zipogo hvyo na masikio yao hayasikiagi vizur

Nimeshagombana nao sana sio wa kiume au wa kike wote wapuuz puuz tu

Pamoja na kwamba huwa naongea kama niko naviaz mdomoni lakin huwa nawaambia kama hujanielewa niulize nikueleweshe kuliko kufanya vitu ambavyo sjakuelekeza

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kabila gani
Wataje

Wahehe
 
Back
Top Bottom