Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #21
Wee siku fanya shopping then sema naenda kazini nitachelewa alafu zuga hata na camera moja mlangoni na sitting room
UTANISHUKURU
[emoji1][emoji1]Uzuri ukishawaeleza basi umewafunga mdomo
Kuna kitu kinaniambia nikuulize
ANAYE MDOGO WAKE WA KIKE [emoji3060][emoji3060]
Pole,mvumilie
Mh sasa nikija kugundua mimi nahsira mbaya si unajua sisi watu wenye hasira za kulia mpaka nimuweke arama ndio natulia [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣HONGERA MKUU KWA KUWA NA NYAMA KWENYE FRIJI ZAIDI YA WIKI MBILI HATUJAZOEA MAMBO HAYA
Pole,uwe unamwelekeza....muda Mwingine tumia ukali kidogoAsante kuna siku nilishinda home ana mwaga maji kama bili anajua inakujaga bei gani ase
Kwahiyo ni nyama na maziwa lita 5 tu au kuna kingine mkuu,,Sio kwamba watu tuna pesa hili ukipata hapa kati ka 50k unakabajeti unaenda nunua kile kitu kimepungua ndani hili hapa kati uangaike na mambo madogo madogo
HONGERA MKUU KWA KUWA NA NYAMA KWENYE FRIJI ZAIDI YA WIKI MBILI HATUJAZOEA MAMBO HAYA
Ukishajua tatizo lipo wapi we ondoka kavuruge akili kidogo hata na bia 2
Ukirudi tujuze tukupe ushauri
Maana bado anajua ku_care
Pole,uwe unamwelekeza....muda Mwingine tumia ukali kidogo
Hila ananiuzi sana ila ukimwambia leo tunatoka ase atafanya usafi nyumba vizuri watoto watapendeza hila alinitia aibu siku ya mwaka mpya tumeenda kwa uncle wetu huk walichoma nyama sasa yeye akaiba nyama kumbe watu wamemuona
Nikaja kumuuliza kwanini umefanya hivyo et kaka niliweka hili nije nikule nyumbani dah niliishiwa pozi nikaenda chumban kucheka
Hii sio nyama huu ni mzoga, ndio maana dada alimwaga huyo Dada ni Genius unamlaumu bure tu kuhusu nyama yupo sahihi, nyama inaliwa siku hio hio sio unaivundika wiki nzima kusema itaiva kwenye frijinaomba utoe nyama hapo kwenye friji sio hiyo nilioleta ijumaaa hile ya wiki iliopita naona itaharibika
Kwahiyo ni nyama na maziwa lita 5 tu au kuna kingine mkuu,,
Hii sio nyama huu ni mzoga, ndio maana dada alimwaga huyo Dada ni Genius unamlaumu bure tu kuhusu nyama yupo sahihi, nyama inaliwa siku hio hio sio unaivundika wiki nzima kusema itaiva kwenye friji
Mi nina hamu na maziwa mgando fanya maujanja basiDah sasa unataka kusema nitaje vyote
Af juzi nilienda mwenyewe sokoni nikabeba kikapu kama cha mzee jangala watu wakawa wananicheka kuna ubaya mimi kubeba kile kikapu?
Mimi nilibeba kuepuka gharama za kununua migmfuko
Cheap labour wengi akili zao zipogo hvyo na masikio yao hayasikiagi vizur
Nimeshagombana nao sana sio wa kiume au wa kike wote wapuuz puuz tu
Pamoja na kwamba huwa naongea kama niko naviaz mdomoni lakin huwa nawaambia kama hujanielewa niulize nikueleweshe kuliko kufanya vitu ambavyo sjakuelekeza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kabila gani
Wataje