Vituko vya dada wa kazi

Vituko vya dada wa kazi

Za mchana wapendwa

Nivumilieni sijui kuandika hila tutaelewana

kwangu nahishi na dada wa kazi kwasababu na watoto wadada zangu ambao nakaa nao hapa sasa huyu dada sikuiz amekuwa na vituko mpaka nashikwa na hasira

Mimi nilisomea mapishi kidogo kwasababu napenda kupika sasa juzi hapa nilikuwa na ugeni marafiki zangu walikuwa wanakuja home ikanibidi niwahi kuludi home nikiwa njiani nikapiga simu

Mimi: dada upo nyumbani naomba utoe nyama hapo kwenye friji sio hiyo nilioleta ijumaaa hile ya wiki iliopita naona itaharibika andaa vitu nakuja pika mwenyewe na wageni ndani safisha

Dada wakazi: sawa kaka nimekuelewa

Mimi : sawa na hao wakina p wakiludi waoge walale sitaki kukuta mtoto hajalal

Dada wa kazi: sawa kaka

Saa kumi na moja na nusu nafika nyumbani nikajianda kwa ajili ya kupika najuwa wageni watafika saa mbili usiku natoka chumban naenda jikon namwita dada vitu ulivyoa andaa viko wapi?

Dada wa kazi : nimemwaga si ulisema nyama hile ni mwage imekaa sana

Mimi: una akili timamu au na wewe zimeluka kidogo hivi hii ni akili yako nyama kilo mbili unamwaga hulihisi halufu yoyote ile ya kuoza?

Dada wa kazi: hapana mimi sikujua kaka nilikuwa nakusikia kwa mbali samahani

Mimi : kama samahani chakula chukua ulishe wageni watakao kuja nikatoka zangu nikaenda chumbani

Dada wa kazi: kaka nitoe mboga nyingine?

Mimi: acha upumbavu ww kata kachumbali utakula ugali hao wakina p na waletea chakula nikasepa

Sasa kesho yake tena nilienda huko kwa dada yangu akanipa mtindi dumu la lita tano akasema mdogo wangu ww najua unapenda mtindi nenda kwanywe

Naludi jioni ninywe mtindi naambiwa umeisha dah napatwa na hasira af siwezi kuongea sana namuangalia ty

Leo ndio amezidi kachelewa anaaza kupiga makelele nasukuma vitu ovyo ovyo ty siwezi mfukuza kwasababu watoto wanampenda sana na ndio mwangalizi mzuri kwa watoto lakini mda mwingine ananiboa sana zamani hakuwa hivi alikuwa anatumia vitu vizuri sasa now hapana amekuwa lafu sana af now uchumi kwangu umeyumba dah sijui nifanyeje
Kua makini na bodaboda wa hapo mtaani.
 
Back
Top Bottom