Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Aisee Kigoma kuna Mambo. Wanawake Ni mwendo wa ubishi na lugha ya ajabu tu. Nimjibuje huyu kwa mfano😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipajui mkuuMewahi sikia kuna mahala hapo mkoani kigoma panaitwa makaburi waziii, ivi ni kweli?
Kwa sababu bado sijamuombaNgoja kwanza ni nywele gani halafu mbona umemwita dada mkuu ni dada yako? Halafu dada yako ni mbabe
Sawa😅😅😅😅Nimeandika nimefuta ×3.
Mpe iyo shale master.
Ngoja kwanza ni nywele gani halafu mbona umemwita dada mkuu ni dada yako? Halafu dada yako ni mbabe
Vinachekesha anayeomba sasa jamani hata kubembeleza imebidi muombaji amwite dada tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa si umuombe na we mpaka unaombwa hela ya kunyolea nyweleKwa sababu bado sijamuomba
😅😅😅😅Sasa si umuombe na we mpaka unaombwa hela ya kunyolea nywele
Ticha na wewe hujaelewa kama mimi.Kwan nimeelewa sasa