Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
hahaha; ila mzee aliyemtoa nishai baba yoyoo hakaufanya fair kabisa;Mi nilitaka hela ya iPhone,, angeitoa😂😂
Fanyeni mazoezi mpunguze chura zenu izo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha; ila mzee aliyemtoa nishai baba yoyoo hakaufanya fair kabisa;Mi nilitaka hela ya iPhone,, angeitoa😂😂
nilipigwa ki pepsi cha mdomo katka purukushani, jamaa akawah akapata seat kuingia akaniomba msamaha akanipisha kwenye kiti akataka kunipa hela nikamwambia asihof, nashuka mawenzi mdomo km jaba naingia saloon wa dada wanacheka, nikatoka.
Huyo baba alikukatishia utamu wa mmasai.Baba mmoja akamtukana, akashukia njiani
a
Aliniudhii,,mmasali alishatoa kabisaHuyo baba alikukatishia utamu wa mmasai.
Aliniudhii,,mmasali alishatoa kabisaHuyo baba alikukatishia utamu wa mmasai.
😅😅 na vile wanavaa mashuka ata angeipitisha angeziba na shuka watu wasingejuaAliniudhii,,mmasali alishatoa kabisa