Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Kumcheka kila anaepitaUswazi kwa kukaa barazani na kuanza kumuangalia mtu na kumsema vibaya kama wao ndio
Wanaoumba
Ofisi gani hiyo inayofungwa AC pamoja na feni mkuu?Habari za jioni wana JF.
Maisha ya uswahili yana shida sana.
Hii nimeiona huku kwetu, ofisini imefungwa Air Condition basi siku hizi kila mmoja wetu anataka iwashe.
Kinachoniacha hoi unakuta mtu anawasha AC na feni pia anawasha kwa pamoja.
Hiyo ofisi yenu inajihusisha na utoaji wa huduma gani?Habari za jioni wana JF.
Maisha ya uswahili yana shida sana.
Hii nimeiona huku kwetu, ofisini imefungwa Air Condition basi siku hizi kila mmoja wetu anataka iwashe.
Kinachoniacha hoi unakuta mtu anawasha AC na feni pia anawasha kwa pamoja.
Mkuu sometimes unazima feni unawaza AC au viceversa,kusave umemeOfisi gani hiyo inayofungwa AC pamoja na feni mkuu?
Mwanzo kulkua na feni tu sasa ndo imefungwa AC na feni bado lipo.Ofisi gani hiyo inayofungwa AC pamoja na feni mkuu?
Nimejua kua ww mswahili mwenzangu pia upo hapaNaona na wewe umethibitisha uswahili wako kutuletea umbea wako humu, kwani mngeitana huko huko na waswahili wenzako mkaelezana na kuyasolve ungepungukiwa nini?
Wakaaz wa mwambao wa Africa masharikiWaswahili ni watu gani?
Umeme unalipia wewe?Mkuu sometimes unazima feni unawaza AC au viceversa,kusave umeme
Hapo office ni yangu,so naweka vyoteUmeme unalipia wewe?
hahaha, yani yeye ndo ataki eisii iwashwe!!!Kila mmoja wenu anataka aiwashe isipokua wewe tuu? ππ
Kifaa chochote huwa na maelezo ya jinsi ya kutumia. Watumiaji waelimishwe, la sivyo ni uharibifu na vingine kuleta majanga kama ya Bukoba.Habari za jioni wana JF.
Maisha ya uswahili yana shida sana.
Hii nimeiona huku kwetu, ofisini imefungwa Air Condition basi siku hizi kila mmoja wetu anataka iwashe.
Kinachoniacha hoi unakuta mtu anawasha AC na feni pia anawasha kwa pamoja.
Seriously?!Hahaha
Mie nilibaki hooi ati kama una kasha la kiberiti unauziwa njiti tuu za 50
Hii niliisikia nikasema ni chai kumbe kweliπππHahaaa. Kuna ile mtu anapeta mchele kibarazani kila siku kumbe anao huo huo robo sijui nusu na kila akiingia ndani anasonga ugali. Lol
Unazingua hajarHahaaa. Kuna ile mtu anapeta mchele kibarazani kila siku kumbe anao huo huo robo sijui nusu na kila akiingia ndani anasonga ugali. Lol
Vikishaungua na kutoa harufu kwa majirani basi jiko linazimwa na kama nichai anakunywa au kama hamna cha kuliwa basi anapiga desh. Teh.
Na mwisho wa siku maisha yanasonga.Ila sijajuaga nini inasababisha aisee.
Ipo Mkuu hiyo. πππHii niliisikia nikasema ni chai kumbe kweliπππ