Vituko vya maisha ya uswahilini

Vituko vya maisha ya uswahilini

Una nini lakini Mangi banaaa. [emoji12][emoji12]

Mwisho wa siku wanaosha sufuria za ugali. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila uswazi nouma sana. Sasa harufu ya ugali anaikataje? Au ndio inakuwa imepotezwa na ile ya vitunguu swaumu nini??
[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23]
 
Ila uswazi nouma sana. Sasa harufu ya ugali anaikataje? Au ndio inakuwa imepotezwa na ile ya vitunguu swaumu nini??
[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23]
Hahahaaaaa. Hata sijui anaikata vipi.

Ila wajua tena mambo ya uswahilini waeza jua haitokei kwake hiyo ukajua ni chumba cha jirani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sesten Zakazaka hivi na weye si wa Uswahilini kama mimi eeee? πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Sesten Zakazaka hivi na weye si wa Uswahilini kama mimi eeee? πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Hajar wauliza mabusha Bagamoyo tena.....uswazi ndo kwenyewe bana

Ila hapa naona kama unatuzuga vilee, maana weye na waushuani HajarπŸ˜ŽπŸ˜‰πŸ˜›
 
Maisha ya Uswahilini.
Unamwazima mtu sabuni ya kuoshea vyombo inarudi ina nywele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tupia kituko chochote cha uswahilini kwenu
Itakuwa haujaangalia vizuri sio nywele ni steelwire hiyo
 
Habari za jioni wana JF.
Maisha ya uswahili yana shida sana.
Hii nimeiona huku kwetu, ofisini imefungwa Air Condition basi siku hizi kila mmoja wetu anataka iwashe.
Kinachoniacha hoi unakuta mtu anawasha AC na feni pia anawasha kwa pamoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uswahili mpaka SAA 5 usiku watoto wapo nje wanazurura.
 
Mie mdako nimecheza sana tena tulikuwa tunatumia Ndimu kurusha juu. Rede pia nimecheza sana tu tena kuna ile inaitwa Mateka unaijua. 😜😜😜😜

Hahahaaaa.Nimejipikilisha pia. Ila hizo mbili za mwisho sikuzicheza aiseee. Nilipitwa eee?
Sasa ukute ile ya mashindano ya mtaa kwa mtaa,watoto wa kiume tunaendaga kuchungulia watakaokaa vibaya
 
Sasa ukute ile ya mashindano ya mtaa kwa mtaa,watoto wa kiume tunaendaga kuchungulia watakaokaa vibaya
Hahahaaaa. Lol.

Ila kuna Vimaisha flani tulivyovipitia miaka ya nyuma vina raha yake banaaa. Watoto wa siku hizi hawavipati hivyo labda Uswahilini ila nyumba za mageti hizi wanachojua ni kuangalia katuni tu na kucheza games kwenye Pc. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahaaaa. Lol.

Ila kuna Vimaisha flani tulivyovipitia zamani vina raha yake banaaa.
Ilikuwa siku mwali akitoka basi wanazungusha mikeka humo ndani ndo kuna balaa sasa, haruhusiwi mwanaume kuingia wapiga ngoma wanapiga kwa nje...sisi na utoto wetu tulikuwa tunavizia tunachungulia kwa chini kilichopo humo sasa ni balaa
 
Hahahaaaa. Ila mlikuwa wabaya aiseeee.

Yaani hamkubali kupitwa kwa kujua yanayoendelea mtafanya juu chini mpaka mjionee. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Duuh.
 
Back
Top Bottom