Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,505
- 5,715
Nyumba tuliokuwa tunakaa,Nipo sebuleni kwenye meza napiga msuli kuna Jamaa kaingia na demu wake wanafanya yao halafu yule demu anatoa miguno na nyumba haina selling body haahaa sasa hapo kunasomeka unadhanHahahaaaa. Lol.
Ila kuna Vimaisha flani tulivyovipitia miaka ya nyuma vina raha yake banaaa. Watoto wa siku hizi hawavipati hivyo labda Uswahilini ila nyumba za mageti hizi wanachojua ni kuangalia katuni tu na kucheza games kwenye Pc. ๐๐๐๐