Vituko vya maisha ya uswahilini

Vituko vya maisha ya uswahilini

Hahahaaaa. Lol.

Ila kuna Vimaisha flani tulivyovipitia miaka ya nyuma vina raha yake banaaa. Watoto wa siku hizi hawavipati hivyo labda Uswahilini ila nyumba za mageti hizi wanachojua ni kuangalia katuni tu na kucheza games kwenye Pc. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nyumba tuliokuwa tunakaa,Nipo sebuleni kwenye meza napiga msuli kuna Jamaa kaingia na demu wake wanafanya yao halafu yule demu anatoa miguno na nyumba haina selling body haahaa sasa hapo kunasomeka unadhan
 
Hahahaaaa. Ila mlikuwa wabaya aiseeee.

Yaani hamkubali kupitwa kwa kujua yanayoendelea mtafanya juu chini mpaka mjionee. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Duuh.
Tulitaka tushuhudie wasichotaka tukione
 
Nyumba tuliokuwa tunakaa,Nipo sebuleni kwenye meza napiga msuli kuna Jamaa kaingia na demu wake wanafanya yao halafu yule demu anatoa miguno na nyumba haina selling body haahaa sasa hapo kunasomeka unadhan
Hahahaaa. Hakuna kusomeka hapo Mkuu cha zaidi kama ulishakua basi anakuhamasisha tu na wewe ukajaribu hiyo kitu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ila ndio maisha ya Uswahilini hayo Mkuu.
 
Sa hizi mkitoka hapo mnawachooora maana walijua hamjui yanayoendelea kumbe mnayo yote. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwa kweli,Yani experience ya uswahilini inasaidia sana katika maisha
 
Kwa kweli,Yani experience ya uswahilini inasaidia sana katika maisha
Hahahaaa. Inasaidia kiaje Mkuu wakati saa nyingine umeishi Uswahilini ila katika harakati za maisha unajikuta unaishi uzunguni.

Nipe hiyo experience na mie aiseee.
 
Hahahaaa. Inasaidia kiaje Mkuu wakati saa nyingine umeishi Uswahilini ila katika harakati za maisha unajikuta unaishi uzunguni.

Nipe hiyo experience na mie aiseee.
Ukiishi maisha ya uswahilini unaweza kuishi maisha yoyote Yale,hujawahi kuishi na mtu halafu ukamuona wa ajabu kiasi kwamba unamwambia "we hujawah ishi uswahilini ndo maana"
 
Mie mdako nimecheza sana tena tulikuwa tunatumia Ndimu kurusha juu. Rede pia nimecheza sana tu tena kuna ile inaitwa Mateka unaijua. ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

Hahahaaaa.Nimejipikilisha pia. Ila hizo mbili za mwisho sikuzicheza aiseee. Nilipitwa eee?
Hahahaha hapo sasa naweza amini kidogo ulipitia uswazi Hajar ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Uswahili pekee mademu huazimana nguo kwa ajili ya mtoko na wanajua balaa kupangilia pamba

Wana mapenzi ya dhati wanajua kupendeza unaweza jua huyu matawi ya juu akikupeleka sasa kwao utakimbia lakin kwenye kuvaa nawapa 100%
hahaa umenikumbusha mbali " kipindi tunakuwa mtaani kwetu mitaa ya M.nyamala komakoma " palikuwaga na demu mmoja matata sana" Halafu ni sister do ile mbaya alikuwa anasoma zanaki".... huyu demu hakuwaga mchoyo Aisee".... ila ukimuomba akupeleke kwao" Aisee hakupeleki hata kwa fimbo".... kwao ni uswazi mnoo bondeni maji yanajaa mpaka ndani" Yaani daah Aibu
 
Uswahilini huwezi lala njaa, kuna mkate hadi wa mia mbili!!
uswahilini usiku wanauza maharage yaliyopikwa tsh300 na chapati tsh100 ... ukiwa na buku tu unakula mpaka una saza"..... basii kuna watu huwa wanapika ugali/wali halafu mboga wanakwenda kununua maharage"..... hii hata mimi nimekula sana Aisee
 
Back
Top Bottom