Vituko vya makanisa ya Dar. Jionee mwenyewe

[emoji23][emoji19]huo si uchawi?
 
Nakumbuka baada ya kufa kwa Elia...kanisa lake lilipata mgawanyiko...kuna aliyetaka kumuachia kanisa halafu familia ikakataa...naomba nijulishe jina lake lililopo nida huyu na yule aliyebaki pale Makonde
Makonde ni kanisa la eliya mwenyewe ila huyu wa tegeta alijitenga na mke wa elia baada ya mke wa elia kukataa kumuachia madaraka
 
Nakumbuka baada ya kufa kwa Elia...kanisa lake lilipata mgawanyiko...kuna aliyetaka kumuachia kanisa halafu familia ikakataa...naomba nijulishe jina lake lililopo nida huyu na yule aliyebaki pale Makonde
Huyu ni yule ambaye familia ilikataa kumuachia kanisa sasa ndo akajitenga na kuanzisha la kwake
 
Hebu watu wa Dar mtuambie huyo baba yenu halisi anaitwa nani na kanisa lake lipo wapi.

Kwa ninavyojua mimi BABA HALISI ni MUNGU BABA MUUMBAJI WA DUNIA NA VYOTE VILIVYOMO.

Wengine tukijiita baba halisi tutakuwa tunakufuru.
Aisee Dunia haiishi vituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…