Vituko vya makanisa ya Dar. Jionee mwenyewe

Vituko vya makanisa ya Dar. Jionee mwenyewe

Da umenikumbusha jana nimepanda coaster kwenda ,karakoo Kapanda mama ...mmoja ndio agent wa mchungaji anajiita ,Mtabiri nyuki ...anadai wanasabuni ukiogea hizo madeni yote kwisha ,nyumba ya kupanga ww ndio utakuwa na sauti kuliko baba mwenye nyumba anaalika watu waende kuombewa
[emoji23][emoji19]huo si uchawi?
 
Nakumbuka baada ya kufa kwa Elia...kanisa lake lilipata mgawanyiko...kuna aliyetaka kumuachia kanisa halafu familia ikakataa...naomba nijulishe jina lake lililopo nida huyu na yule aliyebaki pale Makonde
Makonde ni kanisa la eliya mwenyewe ila huyu wa tegeta alijitenga na mke wa elia baada ya mke wa elia kukataa kumuachia madaraka
 
Nakumbuka baada ya kufa kwa Elia...kanisa lake lilipata mgawanyiko...kuna aliyetaka kumuachia kanisa halafu familia ikakataa...naomba nijulishe jina lake lililopo nida huyu na yule aliyebaki pale Makonde
Huyu ni yule ambaye familia ilikataa kumuachia kanisa sasa ndo akajitenga na kuanzisha la kwake
 
Hebu watu wa Dar mtuambie huyo baba yenu halisi anaitwa nani na kanisa lake lipo wapi.

Kwa ninavyojua mimi BABA HALISI ni MUNGU BABA MUUMBAJI WA DUNIA NA VYOTE VILIVYOMO.

Wengine tukijiita baba halisi tutakuwa tunakufuru.
Aisee Dunia haiishi vituko
 
Back
Top Bottom