Kwahiyo kuna mdogo wangu alifiwa na mtoto, nikaenda mwananyamala sasa wakati nasubiri mwili pale maana katoto kalikua na mwaka tu (so sad) nipo kwa ndani kwenye kama kilobby atendant wa kwanza alikua ndani kabisa...akiongea kwa nguvu namskia anamwambia attendant wa pili mtu mzima hivi nimesimama nae karibu ,akasema huyu jamaa hasogei kila nikitaka kumweka vizuri hakai? Atendant wa pili akamuuliza yupi ? Huyo wa ajali? Jamaa akasema ndio, akamwambia huyo jamaa mwache nakuja mwenyewe...maana anatusumbua tokea asubuhi...(mida hiyo ni mchana saa nane) jamaa wa ndani akamwambia sawa ...baada ya hapo tukahudumiwa sisi tukaondoka..mpaka leo kuna maswali najiuliza na sijawahi kupata jibu...but those atendant was very comfortable aisee...how could you talk about deceased body and be comfortable like that?