mshana uwe unaona ni mda gani wa kuleta uzi kama huu usiku ule uzi wako wa kufukua maiti gafula nilifungua zile picha zinatisha. Nilipolala tu nikaziota nilikosa usingizi.Vituko vya mochwari [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] am sorrymshana uwe unaona ni mda gani wa kuleta uzi kama huu usiku ule uzi wako wa kufukua maiti gafula nilifungua zile picha zinatisha. Nilipolala tu nikaziota nilikosa usingizi.
Niliogopa sana wengine tunalala wenyewe sio vizuri.
Yaan siku ya jana kila uzi ni maiti kuna ile ya kuchoma maiti loh usiku sikulala
Mpwa tukikuomba ushahidi waweza tuletea?Kufanya kazi monchwar inaitaji ujasir sana binasfi nna kakaangu alikuwa anafanya kazi huko
Kila siku alikuwa ananiambia daaaaah ile kazi bila kuvuta mmea uwezi piga
Kuna maiti zinaletwa pale zaajabu
-zingine eti zinaamka zinafanya mazoezi zikimaliza zinakufa tena
-zingine ukiziangalia sana zinaamka zinakuuliza unamuangalia nani zingine zinakukonyeza
-zingine zilikuwa zinamuomba adi simu ziwapigie ndugu zao we acha tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dah. Mtu aliye hai ni hatari kuliko mfu[emoji13] [emoji13]Hii shughuli naiogopa Ile mbaya
Me piah nahisi hivyo kuna maisha mazur baada yakufa maana navuta2 picha kabla sijazaliwa nilikuaje, nilikuwa sijitambui nahivyohivyo nahisi nikifa itakuwa hivyo sijitambuiHiv mbona mwenzenu nna hamu ya kufa sana siku hizi naamin kuna maisha mazuri after death am curious to know that