Vituko vya mochwari

Vituko vya mochwari

Sasa Prof Mshana mfano katika mishe zako haijawahi kutokea labda maiti ikakuongelesha labda? maana ni kituko pia Mimi kule nimeingia kama mara mbili lakini nikiwa tayari nimeisha jiunga tayari na ka kiroba changu.Na kuna moja nilitaka kuikanyaga
 
Kakaangu zilikuwa zinamwongelesha mala kibao
 
Mi sijui nina matatizo gani, napenda kuangalia video za Postmortem [emoji380] [emoji418] [emoji418]
Jinsi vile wanavyowachana kuwafanyia uchunguzi, kutoa vitu vya ndani kuwafanyia uchunguzi na kisha kiwarejeshea na kuwashona.
 
Mshana, I respect you much brother but this is not fair, [emoji21] no health personal who is allowed kutoa izo siri ikiwa za patient, client au hata deadbody, don't act like a kid brother u are grown up enough, don't do this please...[emoji120]

Una complicate mkuu au umeelewa vibaya ,kuanika siri za watu ni kutoa majina ya watu na picha za watu ambao we might know them .

Yeye ametoa story na tabia ili watu wapate kujua na kujifunza pia.Je kuna Mtu yoyote ambae unamjua amekuwa mentioned kwenye hiyo message ? .
Yeye anaelezea work experience yake tu.

Just enjoy and get new information.
 
Jamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile.

Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake huwa na dalili zote.... Wabishi matapeli wachawi nk hubaki na hizi tabia hata pale ndani
Huwezi amini maiti uliyokuwa umeiweka vizuri tu ukaikuta imechanua miguu.

[emoji87] [emoji85] ,ama maiti nyingine kuikuta tu imegeuka yenyewe ...! Unakaa na kujiuliza na mshangao mkubwa hii imegeuka saa ngapi? Ama imegeuzwa ?[emoji35] [emoji35] [emoji35] na nani?

Mbaya zaidi ni zile zenye tabia ya kukonyeza.... Yani live kabisa ukiangalia unaona marehemu anakukonyeza.... Walevi mateja mabosi nk wote wapo kwenye kile chumba.

Na kuna wakati mochwari attendant hujua kabisa kwamba Leo mochwari patafurika ama mzigo utakuwa mdogo.... Ni uzoefu tu wa kazi.

Nikimkumbuka yale niliyokutana nayo wakati ule naona kabisa kuna mengi bado hatuyajui.
d8a579ed333254ea09d729cf18d44a46.jpg
Naskia mochwar wafu wanahifadhiwa kwny frij hapo mbona ni wazi sana,?
 
Sasa Prof Mshana mfano katika mishe zako haijawahi kutokea labda maiti ikakuongelesha labda? maana ni kituko pia Mimi kule nimeingia kama mara mbili lakini nikiwa tayari nimeisha jiunga tayari na ka kiroba changu.Na kuna moja nilitaka kuikanyaga
[emoji23] [emoji23] [emoji23]in very rare cases most of the time ni illusions na mind tricks
 
Back
Top Bottom