Vituko vya mochwari

Vituko vya mochwari

Vituko vya mochwari [emoji3] [emoji3] [emoji3]
mshana uwe unaona ni mda gani wa kuleta uzi kama huu usiku ule uzi wako wa kufukua maiti gafula nilifungua zile picha zinatisha. Nilipolala tu nikaziota nilikosa usingizi.
Niliogopa sana wengine tunalala wenyewe sio vizuri.

Yaan siku ya jana kila uzi ni maiti kuna ile ya kuchoma maiti loh usiku sikulala
 
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] am sorry
 
Kufanya kazi monchwar inaitaji ujasir sana binasfi nna kakaangu alikuwa anafanya kazi huko
Kila siku alikuwa ananiambia daaaaah ile kazi bila kuvuta mmea uwezi piga
Kuna maiti zinaletwa pale zaajabu
-zingine eti zinaamka zinafanya mazoezi zikimaliza zinakufa tena
-zingine ukiziangalia sana zinaamka zinakuuliza unamuangalia nani zingine zinakukonyeza
-zingine zilikuwa zinamuomba adi simu ziwapigie ndugu zao we acha tu

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mpwa tukikuomba ushahidi waweza tuletea?
b6f626170a69d8cfe76f180d654e7e70.jpg
 
Naitaka sana hiyo kazi tatizo bado sijafanikiwa kuipata
 
kabla sijaanza kunywa pombe nilikua naogopa sana maiti hata mgonjwa tu..ila sikuizi nikienda mochwari nakua kimbele mbele hadi natamani kuchungulia maiti zingine nione kuna siku ntaenda kuomba nishinde kule tu niwe naona vioja vyao
 
Back
Top Bottom