Vituko vya mochwari

kabla sijaanza kunywa pombe nilikua naogopa sana maiti hata mgonjwa tu..ila sikuizi nikienda mochwari nakua kimbele mbele hadi natamani kuchungulia maiti zingine nione kuna siku ntaenda kuomba nishinde kule tu niwe naona vioja vyao
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Suala la kukatwa viungo lipo linafanyoka ila ni Mara chache sana.
Pia utambue kwamba maiti inapotolewa na kupelekwa mochwari ikishaingizwa chumba cha maalumu hutolewa nguo hulazwa chini au juu ya meza. Hapo ndipo ndg wa marehem au Dr hupeleka particular za marehem . juu ya maiti inawekwa karatasi yenye particular za marehem . na ndg wa marehem huishia hapo kazi ya kuipeleka kwenye majokofu inakuwa ya mtunza mochwar.
Sasa hao unaowasema wanakuta ndg zao wamegeuzwa ni vipi?
 
Hata kwa pesa siendiiii,,niliwah simama mlangoni kwa nje nikaona kwa mbali zimepangwa wewe nilisisimkaaa mwili wote hadi jikataka kuangukaa
Kuna siku tulikuwa tuna mwingiza jamaa yetu mochwar.
Ndan tuliingia mm na mfanyakazi wa mochwar tulipofika kwenye chumba nikazikuta maiti kama kumi na zaidi zmelazwa chini mbili zilikuwa zmevimba zmejaa hatar sasa yule mfanyakazi wa mochwar akatoka nje akaniacha peke yangu ndani . dah! Nikahisi Giza linatanda . nikakimbia kutoka nje.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahajajajajaaj aisee kukaa na vitu ambavyo haviongei weweee, tuwe na ujasiri unapofiwa na mtu wa Karibu inakuwaje? Laiti ningeulizwa umezaliwa halaf unakufa nisingekubali kuzaliwaa
 
Mungu wangu nimejikuta nacheka tu
 
Hahahajajajajaaj aisee kukaa na vitu ambavyo haviongei weweee, tuwe na ujasiri unapofiwa na mtu wa Karibu inakuwaje? Laiti ningeulizwa umezaliwa halaf unakufa nisingekubali kuzaliwaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
kabla sijaanza kunywa pombe nilikua naogopa sana maiti hata mgonjwa tu..ila sikuizi nikienda mochwari nakua kimbele mbele hadi natamani kuchungulia maiti zingine nione kuna siku ntaenda kuomba nishinde kule tu niwe naona vioja vyao
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahajajajajaaj aisee kukaa na vitu ambavyo haviongei weweee, tuwe na ujasiri unapofiwa na mtu wa Karibu inakuwaje? Laiti ningeulizwa umezaliwa halaf unakufa nisingekubali kuzaliwaa
Ndg yako huwezi kumwogopa.. Na kuna wakat unataman hata asizikwe uwe unamwangalia tu
 
Hiv mbona mwenzenu nna hamu ya kufa sana siku hizi naamin kuna maisha mazuri after death am curious to know that
Mkuu maisha baada ya kufa ni mazur tu
Ila kama ulikuwa umetubu na umemrudia mungu wako

All in all be carefully on what you wish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…