MSHANA NO, CONTENTION YAKO IS TOTALLY AGAINST SCIENCE! IMPOSSIBLE. Ngoja nikupe kisa, kuna mortuary attendant alikuwa na tabia ya kuuza viungo vya binadamu. Watu wanaweka wafu wao kesho wanakuta amegeuzwa hivi na vile tofauti na walivyomweka. Ndugu wa wafu wakawa wanajiuliza mbona hawa maiti wanabadilika? Malalamiko yakaanza. Wenye uelewa, wasioamini hayo unayoyasema wakafuatilia with scientifc means. Wakakuta kuwa yule attendant alikuwa ana temper na maiti for whatever reasons! Sio story tunaye na sasa ameacha , alifukuzwa mortuary