Duh! umenifurahisha,eti akikaa kuondoka hatakiManyau nyau alikuja kuondoa uchawi kufika pale Ubaa Corner (Baa ipo Makaburini) akasema mbele anaona bahari tu hawezi kusogea mbele akarudi kwao, akakaa akaja tena, akafika sehemu ni maskani kuna gogo limewekwa hua tunakaa kupiga stori.
Akatoa jidude fulani hivi akasema huu ni ub00 kila aliyekaa hapa alikua anafir.wa ndiyo maana mtu akikaa hapa kuondoka hua hataki.
Yaani alichomaanisha ni kua vijana wote wa pande zile marinda yaliliwa na wachawi
Unajifanyaga mzaramo kumbe msukuma wa loliondo..![emoji16][emoji16][emoji16]Kwaiyo na ww ndo umekuja kuntangaza huku me wapi[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Duh,balaaa!Hapo kamanyola kuna chochoro lilikuwa refu ndo lina madirisha ya gest kuna mshkaj anaitwa ibrahim alienda kupiga chabo akakuta mama yake mzaz anasukumiwa mashine mbuz kagoma jamaa alilia kwa sauti mpaka wakasikia wahudumu
Kwahiyo walivyokupiga roba ya mbao... .Vibaka wezi hawa maarufu hawatakaa watokee tena.. Nina historia nao.. Mjushi anawafahamu vema kila mmoja kwa sekta yake
Morroco
Kumbwiga
Tito
Jumanne
Pembe
Walinitengeneza nami nikawatengeneza ngoma draw... Tukaenda sawa.. Sasa hivi wanakula bata akhera
Kipindi kile inaitwa meridianMasai ya juzi tu
Inna kumbe we mmasai.Apajulie wapi huyo Muarusha/mumasai labda muulize loliondo..![emoji125][emoji125][emoji125]
Haha. Wakachezea tunguli.Kwahiyo walivyokupiga roba ya mbao... .
We ukawapiga roba ya ki-sangoma ukawasafirisha ahera madukani!
We kweli sio mtu wa kispot spot.
CorrectionNi mwananyamala nina uhakika alikuwa anafunga kwa buku mbili dstv ndani kwa kichumba sijui ofisi kulikuwa na vikorokoro vingi.
Maafisa wa dstv waliongozana na Polisi
Wakazi walikuwa wanafaidi super sport na channel 400 sijui kwa buku mbili tu
Sema aliyemchoma mungu amlaani
Uliwapiga kipapaiVibaka wezi hawa maarufu hawatakaa watokee tena.. Nina historia nao.. Mjushi anawafahamu vema kila mmoja kwa sekta yake
Morroco
Kumbwiga
Tito
Jumanne
Pembe
Walinitengeneza nami nikawatengeneza ngoma draw... Tukaenda sawa.. Sasa hivi wanakula bata akhera
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Professor Jay aliwah kupigwa roba ya mbao mwananyamala maeneo ya maduka 3
Mulemule mkuu had maeneo ya vatican hukuAbajalo ni ya Sinza,mashabiki wake walikuwa wanaanzia Sinza Lion Hotel, Mashujaa Shule ya Msingi, Kwa Remy,Sinza Mori
Wasukuma watokee wap huku loliondoUnajifanyaga mzaramo kumbe msukuma wa loliondo..![emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu bon jove [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tulimkamata ktk sungusungu usk mmoja vitu tulivyomkuta navyoKuna wapga chabo maarufu mwalimu wa msufini na bon jove wa shoka hawa walikuwa na vyeo kabisa vya upigaj chabo,nakmbuka mzee kamanyola aliajir wamasai walinde watu wasipige chabo matokeo yake haohao wamasai ndo wakawa wanapiga chabo ikabidi watimuliwe wakazungushia ukuta usawa wa madirisha ikawa ndo kama wamerahisisha kaz kwa wazee wa chabo maana walikuwa wanaingia ndan ya ukuta wanachek muv la bureeeeew
Yaani pale geiti la mwananyamala hospital kuna mishe mishe za biashara za Cocaine. Yaani hata serikali imeshindwa kudhibiti. Na walinzi wale wrote wanajua mapusha,mateja na mabosi wakubwa wanaleta yaani kama Brazil vilePembe alikuwa akikupiga roba kudadek hutoi lazma uache marupurupu huyu jamaa alikuwa bonge la beki kitasa akiichezea tukuyu ya mbeya alivyorud ikawa bhas akaanza uteja na ukabaji mwaka juz nikamkuta pale mwananyamala hospital hawez kutembea anaombaomba getin dah mshana ulimtengeneza kweli nn