Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Manyau nyau alikuja kuondoa uchawi kufika pale Ubaa Corner (Baa ipo Makaburini) akasema mbele anaona bahari tu hawezi kusogea mbele akarudi kwao, akakaa akaja tena, akafika sehemu ni maskani kuna gogo limewekwa hua tunakaa kupiga stori.

Akatoa jidude fulani hivi akasema huu ni ub00 kila aliyekaa hapa alikua anafir.wa ndiyo maana mtu akikaa hapa kuondoka hua hataki.

Yaani alichomaanisha ni kua vijana wote wa pande zile marinda yaliliwa na wachawi
Duh! umenifurahisha,eti akikaa kuondoka hataki
 
Hapo kamanyola kuna chochoro lilikuwa refu ndo lina madirisha ya gest kuna mshkaj anaitwa ibrahim alienda kupiga chabo akakuta mama yake mzaz anasukumiwa mashine mbuz kagoma jamaa alilia kwa sauti mpaka wakasikia wahudumu
Duh,balaaa!
 
Vibaka wezi hawa maarufu hawatakaa watokee tena.. Nina historia nao.. Mjushi anawafahamu vema kila mmoja kwa sekta yake
Morroco
Kumbwiga
Tito
Jumanne
Pembe
Walinitengeneza nami nikawatengeneza ngoma draw... Tukaenda sawa.. Sasa hivi wanakula bata akhera
Kwahiyo walivyokupiga roba ya mbao... .
We ukawapiga roba ya ki-sangoma ukawasafirisha ahera madukani!

We kweli sio mtu wa kispot spot.
 
Pembe alikuwa akikupiga roba kudadek hutoi lazma uache marupurupu huyu jamaa alikuwa bonge la beki kitasa akiichezea tukuyu ya mbeya alivyorud ikawa bhas akaanza uteja na ukabaji mwaka juz nikamkuta pale mwananyamala hospital hawez kutembea anaombaomba getin dah mshana ulimtengeneza kweli nn
 
Kinondoni mkwajuni ndipo Komandoo Marando alipomaliza biashara na mhaini Tamimu, pale mahali sasa pana makao makuu ya CCM wilaya ya Kinondoni!
 
Ni mwananyamala nina uhakika alikuwa anafunga kwa buku mbili dstv ndani kwa kichumba sijui ofisi kulikuwa na vikorokoro vingi.


Maafisa wa dstv waliongozana na Polisi

Wakazi walikuwa wanafaidi super sport na channel 400 sijui kwa buku mbili tu

Sema aliyemchoma mungu amlaani
Correction


OFM

Operation fichua maovu ndio waliongozana na polisi na kufichua

OFM walitafuta kiki wakapata
 
Vibaka wezi hawa maarufu hawatakaa watokee tena.. Nina historia nao.. Mjushi anawafahamu vema kila mmoja kwa sekta yake
Morroco
Kumbwiga
Tito
Jumanne
Pembe
Walinitengeneza nami nikawatengeneza ngoma draw... Tukaenda sawa.. Sasa hivi wanakula bata akhera
Uliwapiga kipapai
 
Nakumbuka mwaka 2009,nililala guest fulani ipo maeneo karibu na mwananyamala magengeni.Naamka asbh nakuta suruali yangu haipo ndani wakati niliiweka kwenye kiti pembeni kabla sijalala.Kuchunguza dirishani nikakuta kuna tobo limetengenezwa.Nikajua tayari nishapigwa,nikatoka nje ya ile guest ili kujua ilipo nguo yangu,nikaikuta nje ya uzio imetupwa.Kusachi mfukoni nikakuta atm card zangu, ila hela hakuna,nilikuwa nimeacha mia tano ya noti.Nilishukuru sana kwani kabla sijalala usiku nilijihami kwa kuficha hela zote chini ya mto.Ila nilijiuliza hawa jamaa walipuliza dawa ya usingizi usiku ama,maana sikushtuka na wakaweza kuitungua suruali kwa uzuri hadi kutimiza mission zao,ilibidi hadi nijichunguze sehemu nyeti kama hawajafanya yao,maana usingizi ulikuwa mzito sana.
 
Mimi namkumbuka mzee Majisu mchimba makaburi pale M/nyamala A.
 
Kuna wapga chabo maarufu mwalimu wa msufini na bon jove wa shoka hawa walikuwa na vyeo kabisa vya upigaj chabo,nakmbuka mzee kamanyola aliajir wamasai walinde watu wasipige chabo matokeo yake haohao wamasai ndo wakawa wanapiga chabo ikabidi watimuliwe wakazungushia ukuta usawa wa madirisha ikawa ndo kama wamerahisisha kaz kwa wazee wa chabo maana walikuwa wanaingia ndan ya ukuta wanachek muv la bureeeeew
Mkuu bon jove [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tulimkamata ktk sungusungu usk mmoja vitu tulivyomkuta navyo
1. Sabuni kipande ( punyeto)

2.spoku ya baiskel(kufungulia mapazia)

3.spoku za baiskel zimeungwa km tano
Hivi unaweza kusema antena( hii anafungulia chandarua, kufunua shuka km umejifunika au mmejifunika mmelala)
 
Pembe alikuwa akikupiga roba kudadek hutoi lazma uache marupurupu huyu jamaa alikuwa bonge la beki kitasa akiichezea tukuyu ya mbeya alivyorud ikawa bhas akaanza uteja na ukabaji mwaka juz nikamkuta pale mwananyamala hospital hawez kutembea anaombaomba getin dah mshana ulimtengeneza kweli nn
Yaani pale geiti la mwananyamala hospital kuna mishe mishe za biashara za Cocaine. Yaani hata serikali imeshindwa kudhibiti. Na walinzi wale wrote wanajua mapusha,mateja na mabosi wakubwa wanaleta yaani kama Brazil vile
 
Back
Top Bottom