Kummaliza kivipi yaan?mwanyamala kiboko kuna jamaa tulimaliza nae form six alikuwa anishi mwananyamala tumemaliza pepa kama leo kesho wakanda coco beach na marafiki zake wa mwanyamala wakamumaliza huko huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariiiJana wameharibu siku yangu kabisa.
Uswazi siyo mchezo watu kutifuana migumi kitu cha kawaida,
Kuna mtu mwaka juzi akaniambia amepata chumba Mwananyamala 30,000
Kina tiles na umeme safi tu
Baada ya miezi miwili akahamia Kimara,
Kila nikimuuliza mbona ulihama ananijibu ameamua kusogea njia ya kuelekea Moshi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Guest ya hapa mahakamani wenyewe vyumba vina majina ya viwanja vya Ulaya, mara Old Trafford, mara sijui nini yaani shida!Salute... Golden rose vyumba vyake vina majina ya wanyama... Chumba bomba kilikuwa Nyati.... Bakule vyumba vilikuwa kwa namba chumba namba sita ndio kilikuwa chenyewe
Mshana umenikumbusha mbali sanaSalute... Golden rose vyumba vyake vina majina ya wanyama... Chumba bomba kilikuwa Nyati.... Bakule vyumba vilikuwa kwa namba chumba namba sita ndio kilikuwa chenyewe
mnataka kutuharibia uzi mzuri......teh hee hee..kwahiyo unakataa kwamba wewe sio ng'ombe?
..sahihisho lako la kishankupe tu,wala halikuwa na haja;
.ng'ombe wewe!
Crazy GK na OtenSalute... Golden rose vyumba vyake vina majina ya wanyama... Chumba bomba kilikuwa Nyati.... Bakule vyumba vilikuwa kwa namba chumba namba sita ndio kilikuwa chenyewe
Sisimko guest je!? Blue? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bila kusahau sisimiziMshana umenikumbusha mbali sana
Nilsahau kuzitaja Golden Rose opposite na Msisiri A Primary School na Bakule ya Deus...
Kuna kijiwe kingine cha wahuni
Kwa Kopa BIG M...
kama unaenda kwa Omary Kimbau...
Daah
Wewe kweli M/nyamala unaijua....
Hahahahaha hii kali[emoji23] [emoji23] [emoji23] pale mahali basi tu.. Mwananyamala pia walikuwepo wengi tuu na wa kupigisha simu nje ya nchi.. Ticket za ndege nk.. Yani inasoma kabisa... Unasafiri kwenda china na kurudi kwa laki 7 tuu
Mkuu hadija kiaratu namjua wamesoma na Dada angu duuu yupo wapi hadija siku hiziKama umesoma na Amina tutakuwa tunajuana aisee Amina nilimaliza nae mwaka mmoja na na kuanzia la kwanza nilisoma nae darasa moja alikua na rafiki yake hadija kiaratu
Mzee unatishaa....Sisimko guest je!? Blue? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bila kusahau sisimizi
Dada ako nitakua namjua alikua anaitwa nani hadija sijui yupo kwaoMkuu hadija kiaratu namjua wamesoma na Dada angu duuu yupo wapi hadija siku hizi
MxxiuueDaaah umenikumbusha mbali mkuu... Bila kusahau wachuna ngozi, nimekaa mwanyamala kidogo, na nilikuwa nakuja kucheza pale A... Wwe kama nakuhisi ivi... Hukuwa unauzaga kachori kweli[emoji2] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...Mxxiuue
Yupo vizuri lakini sio teja enh alikua na mke wake anaitwa hadija sister duu wa kipindi kileYupo anaendelea na harakati zake za kimaisha ila wadogo zake wengi wapo South
Halaf ni Uhuru peak sio Mk ni saa 10 jioni labda kama wamebadirishaIt means kesho wapo?? Wew ni PM nipe no ya mtu mmoja kuna vitu aviwezi kurudi tena ktk maisha acha nikacheck na jamaa na mafrend wa utotoni
Hivi mtumwa yupo kweli?
Ahahaha yaan weweKwetu ni pale matoke gerage kinondoni ɓ