Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

mwanyamala kiboko kuna jamaa tulimaliza nae form six alikuwa anishi mwananyamala tumemaliza pepa kama leo kesho wakanda coco beach na marafiki zake wa mwanyamala wakamumaliza huko huko
Kummaliza kivipi yaan?
 
Jana wameharibu siku yangu kabisa.

Uswazi siyo mchezo watu kutifuana migumi kitu cha kawaida,

Kuna mtu mwaka juzi akaniambia amepata chumba Mwananyamala 30,000
Kina tiles na umeme safi tu
Baada ya miezi miwili akahamia Kimara,
Kila nikimuuliza mbona ulihama ananijibu ameamua kusogea njia ya kuelekea Moshi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariii
 
Salute... Golden rose vyumba vyake vina majina ya wanyama... Chumba bomba kilikuwa Nyati.... Bakule vyumba vilikuwa kwa namba chumba namba sita ndio kilikuwa chenyewe
Mshana umenikumbusha mbali sana
Nilsahau kuzitaja Golden Rose opposite na Msisiri A Primary School na Bakule ya Deus...
Kuna kijiwe kingine cha wahuni
Kwa Kopa BIG M...
kama unaenda kwa Omary Kimbau...
Daah
Wewe kweli M/nyamala unaijua....
 
Salute... Golden rose vyumba vyake vina majina ya wanyama... Chumba bomba kilikuwa Nyati.... Bakule vyumba vilikuwa kwa namba chumba namba sita ndio kilikuwa chenyewe
Crazy GK na Oten
Vijana wengine wa East Coast Team..
Walikuwa kijiwe chao mwananyamala
Saluni yao Maarufu ilikuwa TILL I DIE....
TID best yake alikuwa DAS Lucas Mwaluvanda
Kijiwe maarufu JERUSALEM (JERUSA)
Madogo wa JERUSA walikuwa wanaogopwa hatari... ( untouchables)...
 
Mshana umenikumbusha mbali sana
Nilsahau kuzitaja Golden Rose opposite na Msisiri A Primary School na Bakule ya Deus...
Kuna kijiwe kingine cha wahuni
Kwa Kopa BIG M...
kama unaenda kwa Omary Kimbau...
Daah
Wewe kweli M/nyamala unaijua....
Sisimko guest je!? Blue? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bila kusahau sisimizi
 
Daaah umenikumbusha mbali mkuu... Bila kusahau wachuna ngozi, nimekaa mwanyamala kidogo, na nilikuwa nakuja kucheza pale A... Wwe kama nakuhisi ivi... Hukuwa unauzaga kachori kweli[emoji2] [emoji85]
Mxxiuue
 
It means kesho wapo?? Wew ni PM nipe no ya mtu mmoja kuna vitu aviwezi kurudi tena ktk maisha acha nikacheck na jamaa na mafrend wa utotoni
Halaf ni Uhuru peak sio Mk ni saa 10 jioni labda kama wamebadirisha
 
Back
Top Bottom