Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Mkuu we ni damu yangu kabisa[emoji109] 100
 
Kwendraaaa me nilikua mtoto wa kishua kwa mwananyamala yetu nakaa ushuani si unajua A ndio kwa kishua kwa mwananyamala
Hata ukienda uswahili watoto wa A ndio wanaonekana wa ushuani. mi nakumbuka kipindi nakua bi mkubwa wangu alinipiga marufuku kuchukua mwanamke anayetokea mchangani, kisiwani, manjunju au kwa kopa. A ndio ilikuwa ushuani kwa mwananyamala.
 
Hata ukienda uswahili watoto wa A ndio wanaonekana wa ushuani. mi nakumbuka kipindi nakua bi mkubwa wangu alinipiga marufuku kuchukua mwanamke anayetokea mchangani, kisiwani, manjunju au kwa kopa. A ndio ilikuwa ushuani kwa mwananyamala.
Aahhhaha A watoto wa kota halaf wewe nakufananisha na mashaga alikua anaishi mitaa ya kwenu teh
 
Hao wote mi kaka zangu pia wa kitaa. Migomigo ana nyumba kisiwa ila amefungua shule ya chekechea kwenye hiyo nyumba.
Daaah kaka zangu hao nakua wananiona marafiki wa uncle wangu walikua wanakuja sana mtaani kwetu kwa kina marehemu moo
 
Reactions: Lee
Aahhhaha A watoto wa kota halaf wewe nakufananisha na mashaga alikua anaishi mitaa ya kwenu teh
Whaaatttt!!!!!!! Mashaga namkumbuka tulikuwa tunaishi mtaa mmoja. Ngoja nikuelekeze kwetu halafu nijue kama utanikumbuka. Nyumba yetu inatizamana na mgahawa wa chiku kambi. Kuna geti jeusi na kuna miti ya miashoki kama 6 hivi ipo kwenye kona ya kwenda kituo cha polisi upande wa kushoto. Kwetu tulikuwa tunauza askirim

Classic
 
Mtaa wa Kwa kutoka Tiger kulikuwa na nyumba moja ya mama mzungu ana wanae wawili wa kizungu... Mmoja bangi bangi kweli...
Huyu mama mzungu akaugua akapelekwa Nairobi akalazwa huko akafariki
Huyu mwanae bangi akaweka msiba kisha akapiga moto na pajero lake intercooler mpaka Nairobi...
Siku ya pili usiku anaingia kutoka Nairobi na maiti ya mamaake kaipiga belt seat ya nyuma... Mwili ulikuwa umeshaanza kuharibika... Alisafiri na maiti peke yake toka Nairobi mpaka Mwananyamala
 
hapo shunie lazima aje pm... mambo ya asskrim tena badala ya ice cream
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
hiyo id yako mbona haiendani na dini yako... utakuwa muumini mzr wa mbuzi katoliki ww
 
Khaaa.. Dunia ina viroja saana. [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…