rama halavi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 269
- 236
Ni kweli yeye sio teja ila akuwa muuzaji mzuri tu kipindi kile.Yupo vizuri lakini sio teja enh alikua na mke wake anaitwa hadija sister duu wa kipindi kile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli yeye sio teja ila akuwa muuzaji mzuri tu kipindi kile.Yupo vizuri lakini sio teja enh alikua na mke wake anaitwa hadija sister duu wa kipindi kile
Kwendraaaa me nilikua mtoto wa kishua kwa mwananyamala yetu nakaa ushuani si unajua A ndio kwa kishua kwa mwananyamala[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
AlimfanyajeAliyemuingiza mjini Jerry Muro anaitwa Kapama..
Jerry Muro hana hamu naye....
Kundi lao na kaka angu migomigo nae ana duka sasa hivi anauza sijui madera sijui nini makaka wa kitaaNi kweli yeye sio teja ila akuwa muuzaji mzuri tu kipindi kile.
Mkuu we ni damu yangu kabisa[emoji109] 100Kamati ya Ulinzi
Salumu Kiwiku
Hassani Kibesi
Seif Dunye
Omary Kinyei
Mfaume Samatta (Body)
Hahahaaaaaa
Mtaani haonewi mtu...
One Nil Area..
Fera Street..
Team Manager
Meck Tarimba...
Nondo FC ndo timu ya kitaa...
Daa kitambo sanaa....
Huku ndiko walikotokea Lawrence Mugia na Amani George (Amani Masikio) waliokuwa wanaichezea Villa Squad..
Sudi Mkumba wa Efm product ya Mwananyamala
Including Bigboss Francis Majizo
Msikiti wenye wakali wa Karate Masjid Taqwa (Nyuma ya Hospitali)
Baa za matukio ilikuwa ni Tiger na Kamanyola...
Kibaka maarufu alikuwa ni Kumbwige (RIP)
Hata ukienda uswahili watoto wa A ndio wanaonekana wa ushuani. mi nakumbuka kipindi nakua bi mkubwa wangu alinipiga marufuku kuchukua mwanamke anayetokea mchangani, kisiwani, manjunju au kwa kopa. A ndio ilikuwa ushuani kwa mwananyamala.Kwendraaaa me nilikua mtoto wa kishua kwa mwananyamala yetu nakaa ushuani si unajua A ndio kwa kishua kwa mwananyamala
Mkuu, alimfanya nini?Aliyemuingiza mjini Jerry Muro anaitwa Kapama..
Jerry Muro hana hamu naye....
Hao wote mi kaka zangu pia wa kitaa. Migomigo ana nyumba kisiwa ila amefungua shule ya chekechea kwenye hiyo nyumba.Kundi lao na kaka angu migomigo nae ana duka sasa hivi anauza sijui madera sijui nini makaka wa kitaa
Aahhhaha A watoto wa kota halaf wewe nakufananisha na mashaga alikua anaishi mitaa ya kwenu tehHata ukienda uswahili watoto wa A ndio wanaonekana wa ushuani. mi nakumbuka kipindi nakua bi mkubwa wangu alinipiga marufuku kuchukua mwanamke anayetokea mchangani, kisiwani, manjunju au kwa kopa. A ndio ilikuwa ushuani kwa mwananyamala.
Daaah kaka zangu hao nakua wananiona marafiki wa uncle wangu walikua wanakuja sana mtaani kwetu kwa kina marehemu mooHao wote mi kaka zangu pia wa kitaa. Migomigo ana nyumba kisiwa ila amefungua shule ya chekechea kwenye hiyo nyumba.
Whaaatttt!!!!!!! Mashaga namkumbuka tulikuwa tunaishi mtaa mmoja. Ngoja nikuelekeze kwetu halafu nijue kama utanikumbuka. Nyumba yetu inatizamana na mgahawa wa chiku kambi. Kuna geti jeusi na kuna miti ya miashoki kama 6 hivi ipo kwenye kona ya kwenda kituo cha polisi upande wa kushoto. Kwetu tulikuwa tunauza askirimAahhhaha A watoto wa kota halaf wewe nakufananisha na mashaga alikua anaishi mitaa ya kwenu teh
hapo shunie lazima aje pm... mambo ya asskrim tena badala ya ice creamWhaaatttt!!!!!!! Mashaga namkumbuka tulikuwa tunaishi mtaa mmoja. Ngoja nikuelekeze kwetu halafu nijue kama utanikumbuka. Nyumba yetu inatizamana na mgahawa wa chiku kambi. Kuna geti jeusi na kuna miti ya miashoki kama 6 hivi ipo kwenye kona ya kwenda kituo cha polisi upande wa kushoto. Kwetu tulikuwa tunauza askirim
Classic
Askirimu kipindi hicho ndio moja ya biashara za nyumbani. Watoto wa shule na watu wazima lazima waje kununuahapo shunie lazima aje pm... mambo ya asskrim tena badala ya ice cream
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kubabake walay... Mnanipa raha mshana jr , Shunie , Mjushi
Endeeleni kutiririka mazee, mie nimeishi hapo mitaa ya kwa Salama Chaurembo karibu na uwanja wa Mw'nyamala B.
Nimewatomba sana mabinti wa maza house mpaka nikapewa Notice na mjomba wao ndio nikahama.
Kwakweli kitu nachomiss Mw'mala ni "Cheap Life".
Huduma za kijamii ziko chini na zinapatikana kwa urahisi.
Hospitali na dispensary zipo jirani, Soko la Magengeni jirani, Usafiri Daladala za kumwaga.
Misikiti sasa (mnajua mie ni Muislamu) ukikata kona msikiti huu hapa.
hiyo id yako mbona haiendani na dini yako... utakuwa muumini mzr wa mbuzi katoliki wwKubabake walay... Mnanipa raha mshana jr , Shunie , Mjushi
Endeeleni kutiririka mazee, mie nimeishi hapo mitaa ya kwa Salama Chaurembo karibu na uwanja wa Mw'nyamala B.
Nimewatomba sana mabinti wa maza house mpaka nikapewa Notice na mjomba wao ndio nikahama.
Kwakweli kitu nachomiss Mw'mala ni "Cheap Life".
Huduma za kijamii ziko chini na zinapatikana kwa urahisi.
Hospitali na dispensary zipo jirani, Soko la Magengeni jirani, Usafiri Daladala za kumwaga.
Misikiti sasa (mnajua mie ni Muislamu) ukikata kona msikiti huu hapa.
Khaaa.. Dunia ina viroja saana. [emoji15]Mtaa wa Kwa kutoka Tiger kulikuwa na nyumba moja ya mama mzungu ana wanae wawili wa kizungu... Mmoja bangi bangi kweli...
Huyu mama mzungu akaugua akapelekwa Nairobi akalazwa huko akafariki
Huyu mwanae bangi akaweka msiba kisha akapiga moto na pajero lake intercooler mpaka Nairobi...
Siku ya pili usiku anaingia kutoka Nairobi na maiti ya mamaake kaipiga belt seat ya nyuma... Mwili ulikuwa umeshaanza kuharibika... Alisafiri na maiti peke yake toka Nairobi mpaka Mwananyamala