Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Ndio bwana Mshana jr. Pale nimekuwa nikipata biere kwa miaka Sita mpaka mwaka 2013... Nilipoondoka Huko Guantanamo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ziko mbili ya hapa Barabarani na nyingine kule nyuma karibu na makaburi.... Ipi mojawapo?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ziko mbili ya hapa Barabarani na nyingine kule nyuma karibu na makaburi.... Ipi mojawapo?
Hapa Lami si ndo kwa mzee mushi.... Kituoni kabisa kwa kopa.... Kwa baba yake Amon.... Mime kunywa pale, nikanywa kwa kibuyu.... Hapo lazima ngumu zitokee kila siku.... Nikanywa kwa peace pale pana supu ila sidhani Kama ni ng'0mbe.... Nikanywa royal nikamalizia kwa mzee kimbau.
 
Siku moja kuna wapuuzi matapeli wa kijinga walikula tuliwakong'ota pale Tiger.. Waliandaa fumanizi bandia ili wamchomoe jamaa hela
Walikuja mwanamke na mwanaume.. Yule mwanamke alikuwa ni changu parsee... Basi wakazama ndani... Mara wakaja wanaume wawili.. Kukawa na mawasiliano yasiyo kawaida ya simu kwa njia ya msg... Sisi tukajiweka tayari ili kama ni majambazi tujue namna ya kujihami na kuwadhibiti
Bila kujua tunawafuatilia mara wakazama gesti, dakika kama tatu baadae tunasikia varangati eti wamemfumania jamaa na mke wao
Tukawaambia msitutanie hakuna fumanizi la namna hiyo.. Wakaanza kuchezea kichapo... Kila mmoja alichoropoka kivyake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku ingine tukamtembezea kichapo jamaa na mchepuko wake sijui aliyetoka kujifungua hana hata mwezi.. Wamekuja na kichanga bar.. Kosa la kwanza kisha baada ya bia mbili tatu wakaanza kutomasana live... Kosa la pili
Mara wakaanza kunyonyana.. Kosa la tatu na lisilovumilika... Mtoto akapewa barmaid ambebe halafu wao wakapata walichostahili
 
Na ukiona kwenye nyuzi za diaspora watu wanalalamika maisha ya ughaibuni ujue hao ni watoto wa kishua yamewashinda wamerudi bongo. Mtoto wa mwananyamala atue ughaibuni ageuze bongo thubutuu.. kuna watoto wa mwananyamala hadi huko Qeuta; Karachi; Lahore na Bombay wametulia hawawazi hata kukanyaga minazi mirefu wamefika huko. Na ukiingia Europe wapo kibao hata Brazil, Mexico, Venezuela wapo wametia nanga.. Ogopa sana mtoto wa mwananyamala atoke bongo harudii huyo.
 
Mwananyamala matuta mawili ndio nlikuwa na ofis yang daily lazima nioshe rungu madem wa kule hawajui kukataaa yan Malaya na asie Malaya wote wanakupa tu

Kibiko alikuwa dem fulan hiv anaitwa mwasisiti hapo hapo nyamala matuta mawili wanapouza uza uza magidoro aiseee huyu dem nilimtongoza akakubali ila akataka 20000 nkakuambia poa
Jioni nkafunga ofisi nkaenda nkala zangu supu ya utumbo na konyagi bapa moja nkachukua condom packet mbili za life style nkamvutia waya mtot akaja .
Nkazama nae gesti Aaaaaaa mtoto anamegana huyo kama anawazimu nshakula zangu bapa hapo atanieleza nin tena piga mambo piga mambo mtoto kakojoa Mara ya kwanza na ya pili mlume bado npo ila natoka jasho mingi mpaka mkund*** yan da nkajua Leo nakufa Mara paaap naskia kimya na ile miguno siiskii tena kumcheki mtot amenilalia kifuani duuu nkasema amedead nn

Nkamtoa mdogo mdogo nkijua amekufa kumsikiliza mapigo ya moyo yapo kwa mbali kumbe alizimia bwana aiseee bado nusu nimkimbie nkampea pea akazinduka akaenda kuoga akarudi akarudi nkamuambia unajiskiaje akasema yupo njema tu nkampa ela yake akatembea japo ckukojoa hata moja yan
Siku ya pili nkampigia simu vp twende ukanipe akakataaa
Aknijibu nyoooo ukanizimishe tena kama Jana
Ankabakia kucheka tuu.
Mwananyamala kuna raha zake na karaha aiseee

I thank God for my dick man
 
Hapo kamanyola kuna chochoro lilikuwa refu ndo lina madirisha ya gest kuna mshkaj anaitwa ibrahim alienda kupiga chabo akakuta mama yake mzaz anasukumiwa mashine mbuz kagoma jamaa alilia kwa sauti mpaka wakasikia wahudumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Salute... Golden rose vyumba vyake vina majina ya wanyama... Chumba bomba kilikuwa Nyati.... Bakule vyumba vilikuwa kwa namba chumba namba sita ndio kilikuwa chenyewe
Na kuna ile Yauto Guest hivi bado ipo ile.. nayo kwa chabo maamae unapiga mzigo mara unashangaa pazia imelala harijojo ukicheck vizuri kumbe spoko imelitanua Mwananyamala hatarii sana.
 
Na kuna ile Yauto Guest hivi bado ipo ile.. nayo kwa chabo maamae unapiga mzigo mara unashangaa pazia imelala harijojo ukicheck vizuri kumbe spoko imelitanua Mwananyamala hatarii sana.
Ilifikia mahali nikadhani chabo imezaliwa Mwananyamala [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Matunge naye yupo mitaa ya Kamanyola ana mtoto wake alikua model alicheza tangazo la Kili lager basi uswahilini akawa anaonekana mjanja yeye na videmu anawapopoa tu,kwa ile mitaa Matunge alikua anaonekana wa Kishua
Dr matunge, ukimuita matunge unamkosea heshima.
Wa kino tulioona MKBar, Meridian, Vijana club, lang'ata, masai zikifunguliwa nyosha vidole
 
Ukikosa chumba Buibui unasogea kidogo juu kule kwa kina Rehema Matonda kwa mbele Pachoto haahasha.
Kulikuwa na Kauchochoro pale
Kanaunganisha mitaa wa Karafuu na Kasaba..
Alikuja kuziba Meja Jackson Msome...
Ulikipita pale unaingia Pachoto fasta...
Ile Garage ya Pachoto Mchana uwanja wa mpira jioni Bar..
Garage ikaanza kusogea polepole mpaka imekuwa full garage..
Ni open space ile..
Tulikuwa tunacheza sana mpira pale..
 
Dr matunge, ukimuita matunge unamkosea heshima.
Wa kino tulioona MKBar, Meridian, Vijana club, lang'ata, masai zikifunguliwa nyosha vidole
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Kwenye ako kauchochoro ukiimaliza ile nyumba pembeni nyuma kuna tairi mbili zimechimbiwa basi ukiona yanini kupoteza pesa za chumba unamkunja tu mtu pale fasta mnamalizana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…