Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Mwalimu nyamakate imebidi nimpigie simu farshuu ljoh anitajie jina ahhaha me sijawahi kugombana na mtu kuhusu chenji halaf mwalimu nyamakate ukiwahi lazima akupe dell halaf ice cream zake alikua haesabu nimezila mm jaman wakati nikiuza
 
kumbukumbu yangu ya nyamala ni ule uwanja wa B...yani lolote linaweza kutokea kabla,katikati na baada ya mechi
wahuni wanavuta bangi mbele ya askari
enzi hizo gemu za ndondo watu wanakuwa na majeshi mastaa,akina lunyamila,mohamed hussein mmachinga,said msasu(huyu alitokea timu ya kitaa chetu hadi akaenda simba)
tulikuwa tunatembea kwa mguu tokea mwembechai,tunadondokea tandale kwa tumbo flani,tunavuka kimto cha kizushi(daraja mti mmoja mwembamba,usipokuwa good balancer unadondokea majini ukitoka kambale wamekudandia nguoni)
kwa ufupi mwananyamala ni nyoko..my favorite spot ni masai these days....nyapu nje nje
 
Magomeni Kondoa
 
Madandi akaj kuwa mwalimu mkuu,alikuwa anapiga stick za uhakika ukimkera,mzee msiba tulimuibia sana mihogo mibichi na kina csto,
halafu we muhenga mwenzangu km unamjua CSTO tulikuwa wote enzi za nzile tuiton ya AL CAEDA mtihani wa la saba tunafanya chini ya ulinzi wa polisi na mtutu
we utakuwa ni wa enzi ya Class ya kina A lijoh F kawle. H sadallah.
J sembja(bonge) J sato kina chozi M kabali dadamkuu ZENA E PANTALEO mtoto wa mwalimu john Octavion tukawa tunamuita babu kutokana na vimvi zake ni wengi ila nimewataja wachache coz tulikuwa ICON tunategemewa sana darasa la A lile lililokuwa mkabala na ofisi za walimu ukiingia tu getini mbele ramani ya afrca na muembe

enzi hizo kabla haijagawanywa kuitwa MINAZINI
 
Daaah A wenye akili zao ahahha watu wa D wakina nusura ramadhani
 
Aliekuaminisha hivyo hakutakii mema! Ila hamna raha kama kwenda kuchukua mtoto uswazi halafu wale masela kitaa wanakumind....
Ahahhah hanitakii mema yapi tena jaman na wakati najionea rrondo tuache utani natamani sana kukujua nitakuja pm jaman achana na uswazi jaman ila si kwetu kwa mwananyamala ilikua ndio ushuani ya mwananyamala mtu akisikia unakaa A kwenye kota za nhc anaogopaaa
 
Huwezi kwenda peponi bila kufa....A si hapamwanzo mwanzo mitaa ilipo ACB, masai club?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
NUSURA ha ha ha
haa halafu wewe nishakujua ha ha ha
ila sikutaji wewe ni Y mwana wa B
km ndo wewe wacha watu wakuzimie coz hizo avatar zako ni vilevile wewe ulivyo mrembo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana Bana me ni M mwana wa C acha niishie hapa aisee ukifungua hiyo code baki nayo moyoni
 
we wakishua tangu primary pigo zako nilikuwa naziona tu mara ya mwisho kukuona ilikuwa kwenu nje pale wanapopaji bajaji hosptari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…