Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Duu hiyo hospital ina majini inabidi ibomolewe na kuhamishwa kabisa hapo
Kwa uliyoyaandika humu naona ni ghost hospital
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekaa pembeni yake miaka zaidi ya saba
Aisee itakuwa umeshuhudia mengi sana mkuu
Sehemu ya hivyo yenye dhambi zote hizo unaweza kuona maiti anatoka mortuary anaenda kujisaidia anarudi tena
 
Eeeeee[emoji849][emoji849] kumbe imei number inaweza kubadilishwa??? Ama kweliii kila kitu lazima kina ufumbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…