Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Huwezi kusema wana JF wenmgi wanaishi mwananyamala , una utafiti gani na ni asilimia ngapi ya hao wana jamii wanakaa mwananyamala? kuna wengine hata hatupajui huko mwananyamala ni wapi , maana kabla hatujaja kubeba boxi huku maeneo ambayo hatukuwahi hata kutamani kupajua ni huko , tandale na manzese, how extremely poverty pool be one of the members residence?
 
Kile kiunga kwa kweli kimeshindikana,ukipita mitaa ya Dada poa wanakurushia vijiwe wakikuita..
 
Khaaaaaa
 
Mbona hujataja "soko la madini"?????
 
Hapo makaburini kwa kopa ukipita mida kama hii unakuta masela wamejikalia katikati ya makaburi wanavuta bangi hawana wasiwasi kabisa.
 
Hili la wagonjwa kufariki alfajiri kuanzia saa 9 mpaka 11 lina ukweli
 
ni kweli kabisa syo kwamba uongo nadhani kuna uwezekano wakawa ni it wa huko
Mana jamaa mmoja alitaka aweke vyakula kwa freezer sema mchawi unit tu aliona huko telegram ila hakuna prove Kama ni kweli na uhakika.

Kama huyo mtu yupo wa kukufata sijui nampataje
 
Mana jamaa mmoja alitaka aweke vyakula kwa freezer sema mchawi unit tu aliona huko telegram ila hakuna prove Kama ni kweli na uhakika.

Kama huyo mtu yupo wa kukufata sijui nampataje
nyie mtfuteni tu telegram mie siwez mchomea au kuwalengesha humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…