Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Mshana ukiweza tuletee na vituko vya Manzese, ikiwezekana vya Tandale kwa tumbo na mtaa mwingine maarufu😂
 
Mshana ukiweza tuletee na vituko vya Manzese, ikiwezekana vya Tandale kwa tumbo na mtaa mwingine maarufu[emoji23]
Hii iko kwenye vituko vya dar


Jiji la Dar na vitongoji vyake: Mikasa, vituko, vitimbwi na matukio
 
Na mimi niongezee;
kama ni mgeni hasa nyinyi wa mikoani na vichench vyenu! usijidai ww ni papaa na mpenda kunjunja! ukiwa kwenye tule monde mwananyamala, unaweza kushobokewa na demu kisuu! zaidi ya beyonce! ukajiona umepata kumbe watu wako kazini!
Duuh una maana gani watu wako kazini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…