Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Mzee Mbilinga huyo mkuu
Wananchi wa kwa kopa ni mazombie
Ahahaha Mbilinga mwenyekiti wangu wa mtaa, yuko kitambo sana yule mzee.....Ila mwananyamala ni sehemu unayotakiwa kuishi kwa taadhar sana ....Kuna siku kwa kopa mida ya SAA 10 mnyasa kapigwa roba pembeni ya road wahuni wakamkamua kila kitu yaan bila uoga wwte
 
Profesa vulata alikufa siku nyingi
 
usela na uhuni sio mabadiliko,vipi kuhusu miundombinu vipi kuhusu nyumba za mwananyamala ,maendeleo ya mji mwananyamala hayafanani hata na ya ule jirani pale kinondoni.miaka ya 90 ilikuwa hutofautishi kinondoni,mwananyamala,hata buguruni lakini angalia sasa utofauti uliopo.
 
Hapo kwenye namba 7 vipi hawa manabii na mitume hakuna huko kwasababu kazi ya manabii na mitume ni kusambaratisha wachawi wanavyojinadi.
 
Mwishoni na mawanzoni mwa miaka ya 2000 kipindi hiyo kinondoni unga unauzwa kila baada ya nyumba moja enzi hiyo mzungu maarufu ni Ali Moja alikua anatupa dili za kubadilisha hela za coin kuwa noti hizi coin ni zile zinatoka kwa mateja wakinunua plama tunatembeza madukani kuanzia mkwajuni hadi block 41, kipindi hiyo coin haziuzwi vituo vya daladala
 
Kuhusu maji siku hizi dawasco wamejitahidi sana kila nyumba wanapita kuweka mabomba ya maji hasa kwa maeneo kuanzia ccm mwinyijuma mpaka kidile na maeneo mengine ya ndani ndani, zamani matanki ya maji yalikuwa mengi ila siku hizi hakuna kuuziana maji, maendeleo mengine yanakuja kibinafsi ikifuatana na miundombinu na malengo ya serikali na serikali ya mtaa
 
Hiyo namba 7 inakuhusu Mshana kwa ile ndoto ulivyokuwa unamkaba mwana JF
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
Kilichotokea baadaye [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Na buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeisahau vipi Mwananyamala KomaKoma?
Masai Club kwa mzee mponda?
Nimekula sana hapo kwa mma ntilie karibu na A!
Usisahau hapo Mwananyamala kila familia haikosi mtoto mmoja au wawili wako UK..BRAZIL AU CHINA kwa shughuli za kipunda.
Kumbe jingalao huwa unachangamikia fursa eehhh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] watu walikufa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…