Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Kuna biashara inaendelea pale minazini kuna nyumba imejengwa km madarasa ya shule (jina maarufu kwa wahaya) kipindi kile bao moja ilikuwa 1500, kulala 5000 mda wa biashara ni saa 7 mchana mpaka midnite vile vyumba vina milango miwili yanii unaingia mbele unatokea nyuma..wanaojiuza unawakuta wamekaa mlangoni pale chini mteja akija hakuna ata salamu ni speed tu ndani, kuna wamasai pale wao ni km walinzi wa ile biashara ukizingua kulipa wanakupa kichapo wateja wengine walikuwa wanakwenda kutolewa ndani ya room unakuta mteja amelipa 1500 ya mwendo mmoja yeye anaunganisha basi anaitwa mmasai fasta na bakora zake....pia hawa wamasai unakuta analipwa elfu 60 kwa mwezi ila mwisho wa mwezi anaambulia elfu 8 au 10 nyingne zote anakuwa anapewa huduma sana sana za buku 5 zile za kulala usk...HAPO ni MINAZINI
Mkuu toa address nzuri na sisi tupite siku moja moja ahhaaha
 
Na mimi niongezee;
kama ni mgeni hasa nyinyi wa mikoani na vichench vyenu! usijidai ww ni papaa na mpenda kunjunja! ukiwa kwenye tule monde mwananyamala, unaweza kushobokewa na demu kisuu! zaidi ya beyonce! ukajiona umepata kumbe watu wako kazini!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilishawahi kupita mitaa hiyo kwa miguu tena usiku mara kadhaa. Kuanzia Studio, Hospitali, Kwa Mama Zakaria, Ujiji, Kwa Kopa na sikuwahi kukabwa. Labda nilikuwa na malaika mlinzi.

Ila pale Mwananyamala A na kwa Kopa, Ujiji kuna sura si za Amani kabisa
Hapo ujiji siku yangu ya kwanza natembea night mitaa hio wazee wa kazi wakanichukulia simu ,..una bahati sema
 
Back
Top Bottom