py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Huyo manyau nyau ni msenge na ni muongo..ndio kwanza leo nimetukana JF tokea nijiungeManyau nyau alikuja kuondoa uchawi kufika pale Ubaa Corner (Baa ipo Makaburini) akasema mbele anaona bahari tu hawezi kusogea mbele akarudi kwao, akakaa akaja tena, akafika sehemu ni maskani kuna gogo limewekwa hua tunakaa kupiga stori.
Akatoa jidude fulani hivi akasema huu ni ub00 kila aliyekaa hapa alikua anafir.wa ndiyo maana mtu akikaa hapa kuondoka hua hataki.
Yaani alichomaanisha ni kua vijana wote wa pande zile marinda yaliliwa na wachawi
Manyau nyau alikuja mtaani kwetu alikuwa anafanya hivyo hivyo anafukua vitu na kuanza kuelezea matumizi yake, gharama yake na athari zake
Zile vitu anafukia usiku na anawatuma vijana 2005 sijui 2006 alikuja kitaa kutoa uchawj ,tumefukia sana usiku halafu mchana anapita mitaa ile tuliyofukia na kuanza kufukua na kudanganya watu "mazombi"
Huyo muongo hakuna uchawi anatoa vitu anawatuma vijana wake na alipofikia huku mtaani kwenye nyumba wale vijana ambao tunajuana nao akawa anawatuma wakafukie