Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Manyau nyau alikuja kuondoa uchawi kufika pale Ubaa Corner (Baa ipo Makaburini) akasema mbele anaona bahari tu hawezi kusogea mbele akarudi kwao, akakaa akaja tena, akafika sehemu ni maskani kuna gogo limewekwa hua tunakaa kupiga stori.

Akatoa jidude fulani hivi akasema huu ni ub00 kila aliyekaa hapa alikua anafir.wa ndiyo maana mtu akikaa hapa kuondoka hua hataki.

Yaani alichomaanisha ni kua vijana wote wa pande zile marinda yaliliwa na wachawi
Jamani chumvi punguzeni kidogo mbavu zetu zipone
 
Matunge nae msanii tu mbongo,silvester watoto wake nowdys wamebaki kujichora matatoo km blackboard dah mwanayamla sio sehem salama kwa malezi ya mtoto wako...kuna mmoja alikuja kuanzisha hostel maeneo ya kwa baba happy kwa nyuma pale madada wa hostel walikuwa wanaliwa deo(chabo) mpka wamechanganyikiwa maana awana pakwenda kushitaki unakuta mjumbe wa shina nae mla deo ikafika kipindi wanapiga story tu na wazee wa chabo wakiwa madirishani..madada wanasema "basi tuacheni tulale chabo mpaka tukiwa tunajisomea?? dah na nyie mezidi""? wazee wa deo wanajibu "FUNGUA KIDOGO nione naondoka"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh
 
Matunge nae msanii tu mbongo,silvester watoto wake nowdys wamebaki kujichora matatoo km blackboard dah mwanayamla sio sehem salama kwa malezi ya mtoto wako...kuna mmoja alikuja kuanzisha hostel maeneo ya kwa baba happy kwa nyuma pale madada wa hostel walikuwa wanaliwa deo(chabo) mpka wamechanganyikiwa maana awana pakwenda kushitaki unakuta mjumbe wa shina nae mla deo ikafika kipindi wanapiga story tu na wazee wa chabo wakiwa madirishani..madada wanasema "basi tuacheni tulale chabo mpaka tukiwa tunajisomea?? dah na nyie mezidi""? wazee wa deo wanajibu "FUNGUA KIDOGO nione naondoka"
Nilidhani deo kwenye mavituz kumbe hata wakiwa wanavaa na kupiga story[emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Manyau nyau alikuja kuondoa uchawi kufika pale Ubaa Corner (Baa ipo Makaburini) akasema mbele anaona bahari tu hawezi kusogea mbele akarudi kwao, akakaa akaja tena, akafika sehemu ni maskani kuna gogo limewekwa hua tunakaa kupiga stori.

Akatoa jidude fulani hivi akasema huu ni ub00 kila aliyekaa hapa alikua anafir.wa ndiyo maana mtu akikaa hapa kuondoka hua hataki.

Yaani alichomaanisha ni kua vijana wote wa pande zile marinda yaliliwa na wachawi
Nimecheka sanaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hujaitendea haki Mwananyamala,bila kuitaja Kwa Manjunju, kwa mama zakaria, Komakoma,ujiji na kisiwani.
Kuanzia Kwa manjunju hadi kwa mama zakaria ni maeneo hatari sana kwa wizi wa simu, some times wezi hupandia mwananyamala kisiwani "Kituo cha shule" ila wezi wakubwa wa simu sio wanaopanda dala dala ka =ma wale wa njia ya Tandale, ni vijana waliopo chini ambao wanavizia abiria wanaochat, na maeneo hayo kuna bumps so daladala lazima iende taratibu.

Komakoma hakuna wizi ila kuna mateja wanazagaa zagaa sana,na nyakat za usiku wale malaya wanaojiuza masai club husogea komakoma mida ya alfajiri katika harakat za kurud nyumbani, ni moja ya maeneo ambayo watu huwa hawalali,na daladala hupatikana muda wote zinaanzia Mwananyamala A kuja komakoma na kwenda Buguruni, Ubungo (Kwa usiku) na Kariakoo.
Mwananyamala Kisiwani,ambayo kijiografia inakwenda kupakana na Tandale sifa yake kuu ni wasichana wanaosasambua, hao ndio wamepinda na hawana soni hata kidogo, na hata wanawake wa maeneo mengine huwashangaa, hupenda kuvalia dera mnasio na kumwaga radhi kwenye sherehe, mwanamke anaweza kuikatikia chupa na akainyanya kwa kupitia uke au sehemu ya kunyea. Haya yapo mwananyamala.

Wengine wataongeza bro mshana jr
 
Hebu naomba farusofia uwaambie na wadada wengine wa JF wenyeji wa Mwananyamala wajitokeze kusema neno

Mi kimboka nilichukua demu, nikamwambia uwanja wa mauaji wapi, akasema nimfuate, ila moyoni nikawa najiuliza huku anakonipeleka kama kuna usalama, tukaingia gheto moja chafu chafu, yaani mashuka yana ramani ya nchi zote zilizopo duniani, mpaka sasa hivi sijajua zile ramani kama ni mikojo ya walevi au many ejaculations za masela, tukaanza mambo, mara demu anaanza kusema we ****** nini, fanya fasta niwahi kiwanja, daah, yaani mzuka wote ukaisha, maana nilikuwa sijazoea lugha kali kama za huyu chakalaa wa kike, yaani unanitukana katikati ya mchezo, maana anataka nifanye kama kuku kitu ambacho sijakizoea, ila kiukweli sikumaliza maana wazungu wote walighairi na kuamua kwenda kuendelea kuweka makazi kwenye korodani, sitaisahau na sitamsahau huyu mpenzi aliyenipiga kibuti mpaka mzee mzima nikaamua kujitoa muhanga mitaa ya kimboka, maana kule mahala kunatisha mazee usiombe, halafu mbaya zaidi nilizama nikiwa nimevaa suti jezi la kazini, ila nahisi masela na wenyewe walikuwa hawanielewi ndio maana wakawa wananiangalia kwa macho ya wasiawasi, maana nilikuwa sifananii kabisa kuzama hayo maeneo, ila kunatisha, maana kule unaweza liwa supu ndugu zako wasione hata unyayo
Niwie radhi kwa hiyo reply sikujua jinsia niliangalia user name
 
Sasa nimeelewa kwa nini Chadema waliamua kuweka makao makuu ya Chadema mwananyamala ni chama cha wahuni ofisi zao ziko kwa wahuni wa kila namna na ofisi yenyewe kuanzia muonekano ni ya kihuni
Usituharibie mada kuwa kama jingalao ana akili na hekima kuliko wewe... Huku sio jukwaa la siasa tafadhali
 
Back
Top Bottom