Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Kuna bongo movie moja imetoka juzi juzi inaitwa karibu Tandale ya jimmy mafuvu kidigo amejitahidi kuelezea visa vya uswahili katika ile movie.Sema bado sanà bongo movie hawajiongezi tu uswahilini unatoa script moja kali sana.
 
Yah ticha wetu huyo na mwalimu wa michezo yule mwanaume alikuwa anaitwa nani vile? Matusi ya mwalim mshana unayakumbuka?
Sanaaaaaa....yule ticha alikuwa hatari kwa mitusi,wa michezo alikuwa anaitwa mtega kama sio kitega sijui vile silikumbuki vizuri jina lake ila alichezeshaga sana mechi za B pale
 
Mwananyamala, Sinza, Keko, Sinza, Kinondoni si pa kukaa na familia

Bora ukae upande wa pili wa barabara ya Nelson Mandela
Ukiwa na mke au watoto. Sehemu hizi sio nzuri kuishi nayo:-
Mwananyamala
Magomeni
Keko
Buguruni
Ilala
Vingunguti
Bonde la msimbazi
Msasani bonde la mpunga
Iyo mieneo mtoto kudata ni kitu cha Kawaida sana
 
Matunge nae msanii tu mbogo,silvester watoto wake nowdys wamebaki kujichora matatoo km blackboard dah mwanayamla sio sehem salama kwa malezi ya mtoto wako...kuna mmoja alikuja kuanzisha hostel maeneo ya kwa baba happy kwa nyuma pale madada wa hostel walikuwa wanaliwa deo(chabo) mpka wamechanganyikiwa maana awana pakwenda kushitaki unakuta mjumbe wa shina nae mla deo ikafika kipindi wanapiga story tu na wazee wa chabo wakiwa madirishani..madada wanasema "basi tuacheni tulale chabo mpaka tukiwa tunajisomea?? dah na nyie mezidi""? wazee wa deo wanajibu "FUNGUA KIDOGO nione naondoka"

Daaa nimecheka
 
Ukiwa na mke au watoto. Sehemu hizi sio nzuri kuishi nayo:-
Mwananyamala
Magomeni
Keko
Buguruni
Ilala
Vingunguti
Bonde la msimbazi
Msasani bonde la mpunga
Iyo mieneo mtoto kudata ni kitu cha Kawaida sana
Mama kuporomosha matusi mbele ya watoto sio ajabu au wadada kuingiza wanaume vyumbani kwao nyumba za urithi wakati wanaishi na ma bro humo humo kawaida tu
 
Ukiwa na mke au watoto. Sehemu hizi sio nzuri kuishi nayo:-
Mwananyamala
Magomeni
Keko
Buguruni
Ilala
Vingunguti
Bonde la msimbazi
Msasani bonde la mpunga
Iyo mieneo mtoto kudata ni kitu cha Kawaida sana
Mbona wengine tupo humu tunashindana kwa hoja na nyie wakishua?
 
Kumbe walifanya yao wahuni? Ila siku kaburi linafukuliwa nilikuwepo maana eneo lote mwanyamala na viunga vyake walipata taarifa mpaka kinondoni studio watu walikuwa ni wengi sana na siku ile ndio james ngomero alipopata KIKI maana kaburi lilikuwa na zege juu mwanaume alipiga kazi balaa
Wahuni walifukua kabuli wakamvua vito vya thamani wakasepa daaaah then walikuwaga wanaenda kuweka kidumu cha maziwa juu ya kaburi basi raia wanategea wakisepa tu maziwa yanapitiwa fasta
 
Back
Top Bottom