Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Nilisikia pia ticha ametangulia ...mshana mwenzetu sana mtoto wa mwanyamala kabisa ila nimesahau kumwambia mshana wakati anafanya intrview na james ngomero leo anagemuliza james kuhusu yule msemaji mkuu wa serikali na mkurugenzi wa maelezo ni mtoto wa mwananyamla kabisa hassan alikuwa na masikio kipindi icho anasoma azania tumecheza nae mpira makaburin pale pia alikuwa mtu wa miadhara sana pale msikiti wa taqwa enzi za kina mazinge naisi yumo pia ktk jukwaa ili kwa ID yake
Cc,dk Abasi.bamutu ya mutaa yenu banakujua vizuriiii.kumbe mzee wa mihadharaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mpaka sasa hivi sijaona sehemu zimetajwa bei za simu.

Sijawahi kununua simu dukani.

Simu yangu ya kwanza ya gharama kabisa kununua ni G Tide nilinunua 40,000 kwa Inno.

Ya pili 50,000 ilikua ndiyo enzi za simu za kichina kubwa kama kiganja.

Ya tatu 40,000 nokia 6300.

Siku hizi simu za range kama Samsung Galaxy s4, A3, J7, Note 2,3, LG G1,G2, G3, HTC one M8, one m9, Huawei p7, 8, 9, Y5, Y6 ni 150 au chini na haizidi 200, ukinunua zaidi ya hapo tunakucheka. S5, Note 4, 5, ni 200 mwisho 250.

Simu ambazo hazina soko ni Nokia Lumia na Blackberry, BlackBerry Torch mwaka 2013 ilikua bila 300 hujainyanyua siku hizi 40,000 sijaona ikizidi 60,000.

Iphone 5 iwe C au S haizidi 200, 6 iwe plus au nini unakula kuanzia 200 haitazidi 300. Iphone 7 kupanda sizioni kabisa.

Itel sisemi.

Nilikuta humu mtu anauza Tecno C5 200k nikamwambia yesu atarudi atakukuta nayo, huku hiyo ni 40,000 mpaka 100,000 kutegemea na muonekano wake. C8, J8, C9 ni range ya 130 mpaka 150.

Tecno H6, J7, zinaanzia 40,000 haizidi 80,000. Y3, y4, 30,000.

Huawei 530 na 500 ni 40,000

aisee hadi nachoka.

Kipindi kile ilikua ukipost tu humu inakuja ile 'Sent by simu hiyo hiyo using jamiiforums mobile app' mi nilikua naangalia baadhi ya majibu ya kifedhuli ya watu halafu naangalia na thamani ya simu yake.

Hawafanani
Dah hapo mwisho umesema kweli....hata mimi nimewahi kufikiria hivyo kuhusu watu flan humu.
 
Baada ya kumtupia elf70 nikadandia daladala nikashuka kituo cha pili nikavuka upande wa pili cjui gari ya wapi! nikajikuta mbagala!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe walifanya yao wahuni? Ila siku kaburi linafukuliwa nilikuwepo maana eneo lote mwanyamala na viunga vyake walipata taarifa mpaka kinondoni studio watu walikuwa ni wengi sana na siku ile ndio james ngomero alipopata KIKI maana kaburi lilikuwa na zege juu mwanaume alipiga kazi balaa
Jemsi nomaaaa[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Dah.! Umenikumbusha mbali sana mkuu yaani tukisema kila mtu arudie kazi yake ya zamani...!
Mfano mimi nilikuwaga na washkaji flani tukawa tunaiba mafuta ya transformers ila sintosahau siku tulipoparamia transformer flani ghafla ulisikika mripuko wa ajabu kufumba na kufumbua mwenzetu mmoja alikufa pale pale mwingine alifia hospital kuanzia siku hiyo niliacha kabisa kazi hiyo.
Namshukuru Mungu sa ivi niko zangu Dom nna banda langu natengeneza na kuuza majeneza na maisha yangu yako fresh nimejenga,nimeoa na nnamiliki
"Kagari" japo ni kama kale ka Mr bean.[emoji1] [emoji1] [emoji1] maisha yana historia ndefu sana.
Hivi mkuu yale mafuta huwa yanafanyia nini ?
 
Sijakaa Mwananyamala zaidi ya kupita tu barabarani lakini uzi huu naufatilia kwa rula bila kuruka comment yoyote, unaweza kuwa uzi bora zaidi tangu mwaka huu uanze.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kwani kuna shida gani nilivyotoa hilo sahihisho mpaka uniite hilo jina? Au ndo unataka kuonyesha jinsi ulivyo huna akili. Acha uquma wewe hapa kila mtu ana uhuru wa kuandika.
...teh hee hee..kwahiyo unakataa kwamba wewe sio ng'ombe?
..sahihisho lako la kishankupe tu,wala halikuwa na haja;
.ng'ombe wewe!
 
Ukimaliza uje na mtaani kwentu tandale kwa mtogole

Wameniibia madera yangu hapa natafuta pa kupigia ramli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we dyadya weee. Umeniua mbavu
 
Mnanda,vigodoro vyote asili yake mwananyamala
Wasanii wa bongo movie wengi waliishi au wanaishi mwananyamala,mapusha wakubwa wa unga na bangi wengi walikuwepo mwananyamala.

Sasa hivi kumebadilika sana,wazawa wengi baada ya kufa wazee wao na madau kupanda wameuza nyumba,ule uswahili umepungua sana tena sana,ustaarabu umerudi sasa iv isipokua maeneo machache.
Ustaarabu unarudi kutokana na wageni kuongezeka .Kama ilivyokuwa magomeni Makuti.
 
Nimekumbuka ile ground ya mwembeni au mwembe sindimba kama ulivyozoeleka kutokana na wamakonde kuutumia sana kwa ngoma zao za kimila,sasa kulikuwa na mechi ya wadada wa igumila na msufini basi mmoja katk purukushani za mchezo akakata chachandu dah .....ikawa zinamwagika kila akikimbia zinamwagika madume huku pembeni ni mbinja tu oyooooooooooooooooooooi
oyooooooooo hahaaa
hapo huwa wanakuwa navigoma vyao...watu wameshakula sana mmea wakati huo..daahh maisha ya uswazi nyoko aisee
 
Back
Top Bottom