Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Hili ni ziwa ambalo lipo miaka nenda rudi uko Mwananyamala, lakini kwa kipindi iki cha mvua na mafuriko, watu wengi wanafikiria kuwa ziwa ili limesababishwa na haya mafuriko yanayotokea hivi sasa jijini Dar es salaam Kiasi cha wengi kufikiria kuwa satellite za google zimejichanganya na kuona kuwa kuna ziwa...
Ukweli ni kwamba ili ziwa lipo na halikusababishwa na mvua au mafuriko yanayotokea hivi sasa.
Lake Mwananyamala linatenganisha baina Mwananyamala na Kijitonyama au Tandale kwa Alimauwa.
Ukweli ni kwamba ili ziwa lipo na halikusababishwa na mvua au mafuriko yanayotokea hivi sasa.
Lake Mwananyamala linatenganisha baina Mwananyamala na Kijitonyama au Tandale kwa Alimauwa.
Lake Mwananyamara (lake) is located in Tanzania nearby to Mwananyamala, Makumbusho, and Mwananyamala. It is also nearby Tandale and Ndugumbi. The latitude of Lake Mwananyamara is -6.78333, and the longitude is 39.25 with the GPS coordinates of 06° 46′ 59.98″ S and 39° 15′ 00.00″ E.