Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
halafu wanaachishwaje kazi? simpaka apende mwenyewe...bado kuna mwanamke dunia hii ya leo unaweza kumuachisha kazi kirahic rahic tu?.....
halafu wanaachishwaje kazi? simpaka apende mwenyewe...
halafu wanaachishwaje kazi? simpaka apende mwenyewe...
bado kuna mwanamke dunia hii ya leo unaweza kumuachisha kazi kirahic rahic tu?.....
halafu wanaachishwaje kazi? simpaka apende mwenyewe...
usichukue jukumu la kumwachisha kazi, vitu vingine katika ndoa ni kulekezana na kufundishana tena kwa upole na amani mkitawaliwa na furaha, tena usionekane kuwa unaumia kwa jinsi anavyokufanyia, onesha upendo zaidi kwake, huku ukiwa unaruhusu hali kutaka kuiweka ndoa yenu kwenye mstari wa kufundishana, wewe ndiyo baba, usiwe mtawala wa fikra zake bali uwe msaada pale anapoenda kinyume na ile kauli mbiu ndoa ni kusaidianaWadau Mimi nimfanyakazi Mke wangu nimfanyakazi wote tunapata Mshahara sawa!!Lakini pesa zangu ndizo zinafanya kila kitu ndani!!Yeye ukimwuliza anasema wewe sindo baba mwenye nyumba!!Yeye zake nikununua mahitaji yake binafsi!!Sasa na Mpango wakumwachisha kazi je nitakuwa nimemkosea??kwani sioni sababu ya yeye kufanya kazi!!
Mkuu nikiangalia comments zako nyingi napata picha kwamba you have a "perfect" lady for you but remember this does not mean that every woman is perfect for the guyz who have them. Kwa hiyo sometimes inawezekana kabisa mke akawa na matatizo na haina maana kwamba mtu anapoleta tatizo basi hajajaribu kuongea na mwandani wake. Kuna watu wengine mkuu ni watata sana yaani ni vichwa ngumu kama nazi, unaweza kujaribu kuongea naye mwaka mzima lakini mwendo ni uleule tu.Ulitaka usaidiweje; tuulize tunaogharamia kila kitu tukueleze huko badget yake ni kubwa kiasi gani? Inawezekana umemwendea kwa kwa ubabe without reasoning! jaribu kujenga daraja mwache yeye akujie wewe na usiwe na haraka atachoka huyo !
Carmel bwana umenifurahisha sana. Hivi unaishi wapi, ina maana huoni jinsi wanaume wanavyowaachisha kazi wake zao???????? Haya mambo yapo na yanatokea sana tu.Utamwachshaje kazi? how? yani asomeshwe yeye na wazazi wake wewe uje umwachishe kazi lol? vunja ukimya kaka, ongea na mkeo.
Sis mnaishi wapi jamani???? haya mbona mambo ya kawaida kabisa kwenye jamii zetu??????????????halafu wanaachishwaje kazi? simpaka apende mwenyewe...
Wanaachishwa sana tena. Na wengine wanazuiwa kabisa kufanya kazi. Kuna wadada 2, wana Master degrees na wamezuiwa kunyanyua mguu kutafuta kazi.
Hapana dada. Kila ndoa ni taifa huru. Kwa hiyo usidhani wote wanaishi kama nyie. Wapo akina mama pamoja na kukata shule wanalazwa chini na kutandikwa viboko kwa makosa ya kipuuzi kama kuvunja chupa ya chai.
Hata hivyo mimi sipendi tabia za namna hiyo. Mama akiwa huru familia inakuwa na amani zaidi. Na uhuru ni pamoja na kufanya kazi na kuwa na uhuru wa kuamua jinsi ya kutumia mapato yake. Hata hivyo inabidi aangalie mipango mizima ya maendeleao ya familia kwa ujumla!
Ukisikia mwanzo wa ndoa kuvunjika ndio huu.
WANAUME mmeambiwa muishi na wake zenu kwa "akili'
Haya lakini nahao wanawake wamekubali kulazwa chini na kutandikwa viboko.... I mean wamekubali kuachishwa kazi na kutandikwa viboko na kuwa humiliated... kitu ambacho mie siwezi kukubali....
Point taken. Unajua ss vidume wakati wa kufukuzia demu saa nyingine huwa tunafanya mambo ya ajabu sana.Usimwachishe kazi.Kosa ulilifanya wakati wa uchumba wenu ulijiweka katika uwezo ambao hutaumudu baada ya ndoa.Toka mwanzo ungemzoesha kuchangia gharama.Hata hivyo hujachelewa endelea kuzungumza nae kuhusu hilo atabadilika tu badae.
Wanaachishwa sana tena. Na wengine wanazuiwa kabisa kufanya kazi. Kuna wadada 2, wana Master degrees na wamezuiwa kunyanyua mguu kutafuta kazi.
Hapana dada. Kila ndoa ni taifa huru. Kwa hiyo usidhani wote wanaishi kama nyie. Wapo akina mama pamoja na kukata shule wanalazwa chini na kutandikwa viboko kwa makosa ya kipuuzi kama kuvunja chupa ya chai.
Hata hivyo mimi sipendi tabia za namna hiyo. Mama akiwa huru familia inakuwa na amani zaidi. Na uhuru ni pamoja na kufanya kazi na kuwa na uhuru wa kuamua jinsi ya kutumia mapato yake. Hata hivyo inabidi aangalie mipango mizima ya maendeleao ya familia kwa ujumla!
Wanaachishwa sana tena. Na wengine wanazuiwa kabisa kufanya kazi. Kuna wadada 2, wana Master degrees na wamezuiwa kunyanyua mguu kutafuta kazi.
Hapana dada. Kila ndoa ni taifa huru. Kwa hiyo usidhani wote wanaishi kama nyie. Wapo akina mama pamoja na kukata shule wanalazwa chini na kutandikwa viboko kwa makosa ya kipuuzi kama kuvunja chupa ya chai.
Hata hivyo mimi sipendi tabia za namna hiyo. Mama akiwa huru familia inakuwa na amani zaidi. Na uhuru ni pamoja na kufanya kazi na kuwa na uhuru wa kuamua jinsi ya kutumia mapato yake. Hata hivyo inabidi aangalie mipango mizima ya maendeleao ya familia kwa ujumla!
Watu wengine wana tabia mbaya, hasa hiyo shule mwenzake kasoma ili akae nyumbani? Ila vitu vingine nafikiri hata hao wadada wenyewe labda maisha yao tambarare! Sisi wengine tuna watu wanatutegemea kibao, ambao waume zetu wanakijausha kama hawawaoni, so inabidi tuwakwamue. Sasa, kwenye hayo majadiliano ya kuachishana kazi, tuanze na kuulizana, je akina fulani na fulani utawaweka kwenye list yako ya kuwaendeleza kimasomo?
Ukisikia mwanzo wa ndoa kuvunjika ndio huu.
WANAUME mmeambiwa muishi na wake zenu kwa "akili'