Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
sidhani kama siku kama hiyo ipo kwenye kalenda ya kichwa chake, maana jibu tayari analijua. some things are just imposible you know. Mimi ntaacha kazi kwa kupenda mwenyewe na kwa sababu ambazo naona zinafaa na siyo kwa sababu tu mume ametaka niache. Kuna watu wanawambia wake zao you get everthing, why not stay at home? kumbe wanasahau hata maji ya asubuhi uogapo kwenda job ni dawa, it gives you a sense of fulfilment, it gives you exposure and you get time to know what is going on. Sasa ukifungiwa ndani ubaki unapika na kupakua, unalala na kuangalia tv, for some of us thats more than being in a prison. ieleweke watu wqnafanya kazi kwa malengo mbalimbali si tu mshahara.
Carmel,
Wala usiwe na shaka. Kama unajua unachohitaji katika mahusiano huwezi kupata shida. Halafu wanaume wanapima upepo kabla ya kuleta hoja. Kwa hiyo kwa mtu kama wewe naamini hataweza kukueleza upuuzi kama huo. Shida yangu ni wanawake ambao wapo wapo hata wakiambiwa kwenda kwao likizo wanaenda tu bila kujua kuwa labda mume anatafuta nafasi akapumue na nyumba ndogo. Yaani hawawezi kuhoji lolote. Nawaonea huruma sana dada zangu wa aina hiyo.