Vituko vya ndoa Jamani


Ndoa za sasa zinavyokuja na mawimbi na dhoruba kali ...wazo la kuachishana kazi nadhani lingekuwa la mwisho kufikirika
 

asitoke tena?..mie nilidhani atoke/asafiri aache pesa pungufu then aone mama atafanyaje, ucpotoka yeye c anajiendea kazini akijua upo utarekebisha mambo?
 
Haya lakini nahao wanawake wamekubali kulazwa chini na kutandikwa viboko.... I mean wamekubali kuachishwa kazi na kutandikwa viboko na kuwa humiliated... kitu ambacho mie siwezi kukubali....

Dada, inategema wakati unaingia kwenye hii biashara umeuza share kiasi gani, Kuwa wengine wameuza 100%. Ni hii ni kwa pande zote mbili.

kabisa kabisa, mie nililetewa za kuleta mwanaume hakuamni nilipomuambia kuliko niache kazi ni bora tutengane/tuachane.....yaani niache kazi halafu iweje?...mama mkwe amenisumbuaga sana.

You still had the gut because you retained some of your shares. Watu wengine wanajikabidhi wazima wazima na kumwachia mwenzake alipeleke gari anapotaka!


Mwanamke anayeweza kuanzisha majadiliano hayo hata kazi hawezi kuacha. Kuna wanawake wengine (na baadhi ya wanaume) wanatia huruma. Nadhani kuna wanawake wanalishwa limbwata pia. Vinginevyo unaweza kumwelezeaje mtu mzima anayepelekeshwa kama gari bovu?

Do

Dark City hiyo ni sawa na UTUMWA KAMILI!

Hiyo si ndoa tena ni kitu kingine kabisaaaa!

Mkuu zipo lakini au nimetoa mifano ya kufikirika? Ukweli ni kuwa ndoa za namna hiyo zipo tena za kumwaga huku mitaani!

Ndoa za sasa zinavyokuja na mawimbi na dhoruba kali ...wazo la kuachishana kazi nadhani lingekuwa la mwisho kufikirika

Kama wahusika wanaweza kujadiliana kwenye round table na kufikia makubaliano. Lakini kuna ndoa zinaishi kwa mwendo wa amri utadhani ni jeshi la jirani zangu wa kule Tarime! Ni mwendo mdundo tu, amri moja ya geshi!
 
Kwa kweli hata mi sielewi, nikifikiria jinsi nilivyokuwa na struggle na shule na mitihani, yani roho juu juu ili tu nikamate hayo madegree siwezi leo hii nikayaweka kabatini na kusahau kwa sababu tu mume kaamua, lol, kweli kila ndoa ni independent entity. Haiingii akilini kabisa, suala la kuchangia gharama ni sawa na ni swala la kuongea tu na kukubaliana, lakini kumwashisha mtu kazi ni mwanzo wa mgogoro mwingine mpya.
 
Carmel bwana umenifurahisha sana. Hivi unaishi wapi, ina maana huoni jinsi wanaume wanavyowaachisha kazi wake zao???????? Haya mambo yapo na yanatokea sana tu.

Sikatai kwamba haya mambo hayapo, ila tu kwangu hayamake sense na sioni kama kwangu yanawezekana. period!
 

Kweli dada. Lakini umesahau kuwa siku zote mtu hupewa kile walichokubaliana katika majadiliano (bargaining)? Kuna watu wanamwachia Mungu hata vitu ambavyo kiukweli viko ndani ya uwezo wao.

Hata mimi sipendi kitu hiki na ndio maana siwezi kuishi na mke ambaye hafanyi kazi, labda kama kuna sababu za msingi. But some guys need it to tame their pray!
 

kwa watu wa haib ayako ni ngumu saaaaaaaaaaaaaaaaana aisee kuachishwa kazi tena naona ni ndoto kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! mume agani huyo atakayediriki kufanya huo 'upuuzi'

nikuulize hivi 'muheshimiwa siku moja anakuja na hiyo kuwa mama sasa kazi basi kaa nyumbani, sioni sababu y awewe kumenyeka.....utafanya nini Carmel???
 
kuna ndoa eeehh, kha mbona tabu hizi jamani.

Nyamayao kuna mambo duniani acha tu yaani mwingine ni Boyfriend tu anakuambia kama unataka tuoane basi acha kazi, utafikiri alikusomesha yeye, kisa tu umempenda
 
Nyamayao kuna mambo duniani acha tu yaani mwingine ni Boyfriend tu anakuambia kama unataka tuoane basi acha kazi, utafikiri alikusomesha yeye, kisa tu umempenda

ucje niambia mtu akiambiwa hivyo bado ataendelea na mikakati ya ndoa dear, mbona ndoa zimekuwa za masharti sana.
 
Nyamayao kuna mambo duniani acha tu yaani mwingine ni Boyfriend tu anakuambia kama unataka tuoane basi acha kazi, utafikiri alikusomesha yeye, kisa tu umempenda

Mtaka cha uvungini je???......................siyo nyanyua tanda!!
 

mie nilimjibu bora tutangane/tuachane...ckuona sababu ya mie kuacha kazi kwa ajili ya vijimambo vyake tu.
 
ucje niambia mtu akiambiwa hivyo bado ataendelea na mikakati ya ndoa dear, mbona ndoa zimekuwa za masharti sana.

masharti mengine kwa wengine hayatatekelezeka??

in the first place huyo b/f is disqualified. he wont make a perfect match kwangu bora nibaki singo kuliko kuwa na mahusiano ya kijinga jinga namna hiyo. kufanywa mtumwa katika jina la mapenzi.........never, not me!!!
 
mie nilimjibu bora tutangane/tuachane...ckuona sababu ya mie kuacha kazi kwa ajili ya vijimambo vyake tu.

hahaaa na mbona mpaka leo hamjatengana??? alikuwa anapima kina cha maji huyo!!!

mi ntamwambia yeye aache mi niendeleee kufanya kazi!!!
 
sidhani kama siku kama hiyo ipo kwenye kalenda ya kichwa chake, maana jibu tayari analijua. some things are just imposible you know. Mimi ntaacha kazi kwa kupenda mwenyewe na kwa sababu ambazo naona zinafaa na siyo kwa sababu tu mume ametaka niache. Kuna watu wanawambia wake zao you get everthing, why not stay at home? kumbe wanasahau hata maji ya asubuhi uogapo kwenda job ni dawa, it gives you a sense of fulfilment, it gives you exposure and you get time to know what is going on. Sasa ukifungiwa ndani ubaki unapika na kupakua, unalala na kuangalia tv, for some of us thats more than being in a prison. ieleweke watu wqnafanya kazi kwa malengo mbalimbali si tu mshahara.
 
hahaaa na mbona mpaka leo hamjatengana??? alikuwa anapima kina cha maji huyo!!!

mi ntamwambia yeye aache mi niendeleee kufanya kazi!!!

that is the attitude, umsikilizie kama atakubali.
 
ucje niambia mtu akiambiwa hivyo bado ataendelea na mikakati ya ndoa dear, mbona ndoa zimekuwa za masharti sana.

zina masharti mpaka basi, wakati mtu alikukuta na kazi yako tena anataka kukuachisha sijui ukae tu nyumbani kumpikia na kumfulia , watu wana dhalau sana aisee, mie nilimwambie aendelee kutafuta majumbani huko kuna wanawake kibao wasio na kazi aoe
 
Na ndio maana wanaume wengine wanapenda kuoa darasa la saba ili wawaendeshe wanavyotaka kama gari bovu.Wanasingizia eti WASOMI wna kiburi kumbe wanatafuta mteremko wa ndio ndio bila reasoning yoyote.
 

ndiyo maana nikasema mwanamke wa haiba yako kuachishwa kazi ni ndoto..................na huwezi pat amume wa hivyo pia, I bet
hivi kweli maisha gani kuamka kupika kupakua kulala.............uwiiiii ntakufa b4 siku zangu
 
kweli duniani kuna mambo, wengine tunaachika bse hatuna kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…