Vituko vya ndoa Jamani

hahaaaa hv tatizo la msing ni lipi tena?

ooh mke hamsaidii mume kwenye matumizi ya hm eeeh???


si waongeee tu kila kitu kiwe wazi...........mwambie ukweli

kuna vijimambo wakati mwingine vinafanya mtu unagomea pesa yako bwana, sio tu unagoma coz umeamua kugoma, aongee na mkewe atajua tatizo kama lipo wapi....
 
bianfsi naitafuta ndoa lakini sio ya kihivia aisee. kumlamba mtu miguu maana duh............no wonder!!!


mtangulize Mungu! yupo wako mahali na yeye anakutafuta dearest.
 

Ni kosa kubwa kumwachisha kazi mkeo kwa sababu: 1. sheria ya ndoa inakutaka wewe kuangalia familia - isome tafadhari; 2. ukimwachisha kazi hayo mahitaji yake binafsi utayagharamia wewe upende usipende kwani keshazoea huyo, ukigoma tu wanaume wenzako watagharimia; 3. ukifa au ukifukuzwa kazi yeye lazima atasaidia tu; 4. kunawatanzania wengi wanahudumiwa naye hivyo ni kuwanyima haki; 5.

kusoma kwake ni investment ambayo sasa inazalisha - faida kitaifa na kibinafsi. Je, watoto wakimuomba kitu anawanyima au anawaambia mwambieni baba? Hivi yale masufuria, masahani, vijiko jikoni unanunua wewe tu? Sasa angalia humo ndani kwenu je vyote umenunua wewe? Nyumbani kwao unapeleka misaada kama wanahitaji au yeye tu? Je, wewe upeleki pesa kwingine bila yeye kujua? Je, wewe sio mtu wa mitungi? Raha ya mwanaume wa shoka ni kuhudumia familia kwa kila kitu! Labda kwenye kitchen party aliambiwa kazi yake ni moja tu kulea na kukupa wewe penzi moto moto!!!
 

Ukimwachisha tu kazi atalipwa mafao na atataka kufanya biashara au atakuwa mama wa nyumbani na mbadala wake utakuwa ni kupiga umbeya tu. Tena usiombe akaanza biashara ya kukata mkaa, maanake atakuwa anasimamia vijana wa kiume wa miraba minne kule porini, jibu unalo! Uamuzi wako hautakuwa wa busara na ndio mnaendea kuvunja ndoa?
 

Mimi naona hii ni kama vituko vya wana-ndoa na wala si ndoa!
 
Mhhh hizi ndoa ni ngumu lakini watu bado wanataka kuingia....kwanini ehh? how can i put this? Sometimes life is too hard to be alone and sometimes life is too good to be alone?....halafu from personal experience i have learned that marriages is an estate that is very much easy to enter than it is to exit.... mhhh mtu kabla hajaingia kwenye wed lock ajifikirie vizuri.....
 
aiways my dearest..............lakini masharti ya kipuuzi staki
mie naona anae taka kukuachisha kazi anataka kukukomesha wala hakuna sababu ingine... utakomaje? :mmph:
 
mie naona anae taka kukuachisha kazi anataka kukukomesha wala hakuna sababu ingine... utakomaje? :mmph:

heeee mamii na utakomaje???

akhaaa mwenzangu aende zake, mi nihangaike weeeeeeee afu kirahisi rahisi tu 'acha kazi' my f***********
 

exactly ma dear, cjui kwanini kuchomoka humu ndani ni ishu kweli, wengine wanafikiria watoto, wengine tumechuma wote mtu aje kirahic kula jasho langu, wengine hivi na vile, tunajishangaa bado tupo tupo tu, hata mie kuna wakati ilikuwa ngumu sana kwangu mwanzoni nilianza kukata tamaa badae nikasema nakomaa nayo, haaa jamani...ndio mpaka kikaeleweka.
 
mie naona anae taka kukuachisha kazi anataka kukukomesha wala hakuna sababu ingine... utakomaje? :mmph:

na haki ya nani hii ni njia mbadala ya kukukomesha, atakuwa amekupata haswa!
 
Sis mnaishi wapi jamani???? haya mbona mambo ya kawaida kabisa kwenye jamii zetu??????????????
Bro...that goes to show that i might be hanging out with wrong ppl.... ninao wajua wanaacha kazi kwa kutaka wenyewe... ile sentence ya KakaKiiza ilinifanya kufikiri kama ana power yakwenda kazini kwa mkewe na ku-resign on her behalf... :jaw:
 
@Noname ku resign on her b1/2 hahaaaaa lol!!! safi sana!!!
atawahi, abaki kuugulia tu basi
 
Bro...that goes to show that i might be hanging out with wrong ppl.... ninao wajua wanaacha kazi kwa kutaka wenyewe... ile sentence ya KakaKiiza ilinifanya kufikiri kama ana power yakwenda kazini kwa mkewe na ku-resign on her behalf... :jaw:

You just need some of that maximum precription strength takbiru ala walibalu and yo azz will calm down like a cucumber.....how goes it, btw?
 
Kabla ya kulalamika kuwa kipato cha mke hakihudumii familia ni muhimu mleta mada akaeleza background ya familia yake na ya mke wake. Inawezekana mkewe ndiye nguzo ya familia alikozaliwa hivyo anajukumu la kuvunja minyonyoro ya umaskini wa wazazi wake na ndugu zake.
 
@Noname ku resign on her b1/2 hahaaaaa lol!!! safi sana!!!
atawahi, abaki kuugulia tu basi

Swali la kizushi ..hivi kwa mfano mmeo anakwambia anakupa talaka kisa umegoma kuacha kazi utafanyaje katika hatua hiyo??
 
ndio anakuzowesha kidogo kidogo , siku akiamua mwenyewe kutokwenda kazini UTAMLAZIMISHA? si itabidi ushughulikie familia na umpe na yeye pia pesa za mahitaji yake binafsi?
kwa nafsi yangu namjua mtu alikuwa na masters akawa anafanya kazi mwanzo, baadae alipopata mtoto akaamua kukaa nyumbani kulea. so chochote kinawezekana kwa mwanamke ..............wanawake wawili hawafannani kwa mawazo
chukulia kawaida tu, atleast gharama za kumhudumia yeye binafsi na za kuwapa wazee wake zimepungua kwenye bajeti.
 


Thanks Mwanamayu, you put it very well.

1. unajua majority ya wanaume siku hizi hawako responsible kabisa, huwa inaniudhi sana kukuta mwanaume analalamika eti mke wangu hachangii matumizi ya nyumbani na ukitafakari ni familia changa ambazo hazina hata 5years za ndoa which means most of the time haina watoto zaidi ya 3.inakuwaje mwanaume unakuwa cry baby kutunza familia yako mwenyewe? wakati unaoa ulikuwa unafikiria nani atakusaidia kuitunza? tena good thing mwanamke anajigharamia mwenyewe matunzo yake wala huhusiki, na je ungekuwa unachangia na hilo si ungelia. Japo siamini kama ni busara mke kujitoa kabisa, i still think si reason ya mwanaume kukosa usingizi, as a man in the house you should manage to keep your family otherwise utatunziwa.

2. Si kweli kwamba wakina mama huwa hawachangii gharama za nyumbani, si kweli hata kidogo, ukichunguza kwa makini majority ya wanaume huwa wanaacha general mahitaji ya home, akishanunua mchele, unga, mafuta na vitu vya aina hiyo next anatoa pesa tu ya mboga huyo kaishia, wanadhani wamemaliza, kumbe in between mama atatoa pesa ya chumvi, viungo, sijui kutupa taka, sijui kununulia mtoto nguo na hata sijui kitu gani hakuna, mwisho wa siku i can assure you huwa wametumia pesa almost the same na wanaume kama si a half. lakini wanaume wengine hawaoni contribution yao, wanataka kuona mama katoa elfu kumi na yeye atoe elfu kumi,mkiendekeza tabia hizi kaka zangu mnapoteza haki zenu za kuheshimiwa kama head of families, why should i respect you while i do everything as you. I will also demand respect as the head of the family so watch out. Gud lucky.
 

Oww dear ni bora ulijikaza na kikaeleweka... mie nilifikia kwenye ile phase ya kufa haki ya nani.. the only thing more unthinkable than leaving was staying and the only thing more impossible than staying was leaving...but with God's help I am still here alive and sound :smiling: :smiling:
 
Mshahara kitu gani kwa mwanamume?mpe kadi ya benk ukiingia akachukue lakini uhakikishe hiyo ac haiingizi hela nyingine yoyote.tena mwambie akijuaumeingia tu akachukue wooote aweke kwenye akaunt yake hapo ndio utajua u.....a wa mwanamke.pole lakini.soma sign hapo chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…