HaaahghWewe huko pambana na watoto wa Mtendaji wa Kijiji au Mwenyekiti wa Kijiji, pia wapo watoto kutoka familia zile zinazo ogopwa kwa Uchawi.
Mabinti kutoka katika Makundi hayo niliyo kutajia, wana vijitabia vinarandana na Wa-kishua kutoka Mjini..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiufupi wanaishi dunia flani iv amazingWanafurahisha sana...
Muda mwingi hawanaga stress na mtu...
Wanajifanyia yao, kwa raha zao... Wewe ukishangaa wao wanakishangaa unachoshangaa nini...
Mara nyingi hawana mawazo megative as such, mawazo yao ni positive, ambayo hukupa wewe changamoto...
Cc: mahondaw
...imekuingia!Kwa heshima tu nimekudharau...jiulize kwanini?!! Mana hata bando hujachangia ka mtafutaji usingeingia chitchat saa2 ungeingia jukwaa la uvuvi ufugaji au kule kwa wajasiliamali..ndo hiviii
Hahahaaaaaaaaaaa!!!...hivi sasa ni saa mbili kamili,
..kwa saa za Afrika Mashariki!
Sijajua mkuu.....huku kijijini tunatembea kwa miguu tu...hatujui cha nauli......Mkuu dunia sio kijiji tena ni jiji kwani nauli ya mjini na matanuzi shingap
Haunitakii mema mkuuWewe huko pambana na watoto wa Mtendaji wa Kijiji au Mwenyekiti wa Kijiji, pia wapo watoto kutoka familia zile zinazo ogopwa kwa Uchawi.
Mabinti kutoka katika Makundi hayo niliyo kutajia, wana vijitabia vinarandana na Wa-kishua kutoka Mjini..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila iyo avatar na iyo apo inayotoa moshi ila kubwa yake ambayo ndo inapigwa vita inanifanya niione nchi wanayotaka tuwe wazalendo pamoja na changamoto ngumu ngumu,niione nzuri kwa kweliSijajua mkuu.....huku kijijini tunatembea kwa miguu tu...hatujui cha nauli......
Unatumia mkuu...? huku kijijini ipo ya kusaza...tunatumiaga tu si unajua hata mapolisi hayapo huku...nikija mjini ntakuletea...Ila iyo avatar na iyo apo inayotoa moshi ila kubwa yake ambayo ndo inapigwa vita inanifanya niione nchi wanayotaka tuwe wazalendo pamoja na changamoto ngumu ngumu,niione nzuri kwa kweli
Uku mjini mpaka nyimbo wasanii wameimba"kimbia fasta,ukianguka we kimbia,ukiamka we kimbia amka vumilia..ni vita ka ya ugaidi,,basi mnafaaiid wenyewe ukija mjini njoo na stokUnatumia mkuu...? huku kijijini ipo ya kusaza...tunatumiaga tu si unajua hata mapolisi hayapo huku...nikija mjini ntakuletea...
Kama hajatupiwa fupa...Wewe huko pambana na watoto wa Mtendaji wa Kijiji au Mwenyekiti wa Kijiji, pia wapo watoto kutoka familia zile zinazo ogopwa kwa Uchawi.
Mabinti kutoka katika Makundi hayo niliyo kutajia, wana vijitabia vinarandana na Wa-kishua kutoka Mjini..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umekosea kunifananisha na lipumba,mi napenda mtu ambaye ni mpambanaji napenda rafiki mchapakazi sipo mchumi mchwara wala dikta uchwara.Labda ulielewa comenti yangu tofauti.Mkuu we una element za lipumba MCHUMI MCHWARA bora dikteta uchwara
Hanitakii memaKama hajatupiwa fupa...
Eeee!!!Majukumu ya mwanamke kwa mwanaume si kupika wala kuosha vyombo.
Mkuu kwani kila mwenye boxer ni bodaboda?Kama ni kweli unajituma na manisha unafuga Kuku na huku umejiajiri kama boda boda unafaa kuongezewa mtaji.
Mkuu kwani kila mwenye boxer ni bodaboda?[/Q
Hapana boxer,samahani sana kwa kukuwazia. Hivyo.