Vituko vya watoto wa-kishua

Vituko vya watoto wa-kishua

Wanafurahisha sana...
Muda mwingi hawanaga stress na mtu...

Wanajifanyia yao, kwa raha zao... Wewe ukishangaa wao wanakishangaa unachoshangaa nini...

Mara nyingi hawana mawazo megative as such, mawazo yao ni positive, ambayo hukupa wewe changamoto...

Cc: mahondaw
 
Wewe huko pambana na watoto wa Mtendaji wa Kijiji au Mwenyekiti wa Kijiji, pia wapo watoto kutoka familia zile zinazo ogopwa kwa Uchawi.

Mabinti kutoka katika Makundi hayo niliyo kutajia, wana vijitabia vinarandana na Wa-kishua kutoka Mjini..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haaahgh
 
Kiufupi wanaishi dunia flani iv amazing
 
Kwa heshima tu nimekudharau...jiulize kwanini?!! Mana hata bando hujachangia ka mtafutaji usingeingia chitchat saa2 ungeingia jukwaa la uvuvi ufugaji au kule kwa wajasiliamali..ndo hiviii
...imekuingia!
..maumivu yakizidi,
.chomoa!
 
Wewe huko pambana na watoto wa Mtendaji wa Kijiji au Mwenyekiti wa Kijiji, pia wapo watoto kutoka familia zile zinazo ogopwa kwa Uchawi.

Mabinti kutoka katika Makundi hayo niliyo kutajia, wana vijitabia vinarandana na Wa-kishua kutoka Mjini..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haunitakii mema mkuu
 
Sijajua mkuu.....huku kijijini tunatembea kwa miguu tu...hatujui cha nauli......
Kwani hata gari la mwenge ukiomba lift wanakataa kuja mjini mkuu?au jifanye unaumwa uje na ambyulensi japo utapata shida ila utafika
 
Sijajua mkuu.....huku kijijini tunatembea kwa miguu tu...hatujui cha nauli......
Ila iyo avatar na iyo apo inayotoa moshi ila kubwa yake ambayo ndo inapigwa vita inanifanya niione nchi wanayotaka tuwe wazalendo pamoja na changamoto ngumu ngumu,niione nzuri kwa kweli
 
Unatumia mkuu...? huku kijijini ipo ya kusaza...tunatumiaga tu si unajua hata mapolisi hayapo huku...nikija mjini ntakuletea...
 
Uku mjini mpaka nyimbo wasanii wameimba"kimbia fasta,ukianguka we kimbia,ukiamka we kimbia amka vumilia..ni vita ka ya ugaidi,,basi mnafaaiid wenyewe ukija mjini njoo na stok
 
Wewe huko pambana na watoto wa Mtendaji wa Kijiji au Mwenyekiti wa Kijiji, pia wapo watoto kutoka familia zile zinazo ogopwa kwa Uchawi.

Mabinti kutoka katika Makundi hayo niliyo kutajia, wana vijitabia vinarandana na Wa-kishua kutoka Mjini..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama hajatupiwa fupa...
 
Mkuu we una element za lipumba MCHUMI MCHWARA bora dikteta uchwara
Umekosea kunifananisha na lipumba,mi napenda mtu ambaye ni mpambanaji napenda rafiki mchapakazi sipo mchumi mchwara wala dikta uchwara.Labda ulielewa comenti yangu tofauti.
 
Mkuu niwie radhi ngoja nifute kabisa
 
Ikitokea mzazi anataka kumpiga basi atampiga na mapovu ama magazeti, fimbo hakuna ushuani
 
Back
Top Bottom