Vituko vya watoto wa-kishua

Kiislam.hayo ni majukumu ya mwanaume.kujua mkewe atakula nini..nani atafanya usafi.ila tu wanawake majukumu yao ni kuzaa na kulea familia tu.wewe ndo mwenye jukumu la kumpikia.
Kwa nini nijipe majukumu makubwa ivyo na wakati by the time bado nilikuwa tegemezi
 
Mianaume inayojiita ya kishua mipumbavu haswa,, wao starehe mwanzo mwisho hawawazi kitu kazi yao ni moja tuu kuzunguka tuu na kufanya starehe Wanakaa kama hawana future kabisaaa
Other side of the coin Kama wewe ni mpambanaji sio mbandika kucha 24/7 wana madeal mno na sio wachoyo (rohokutu) wako + mno nakama anaweza kukusaidia au kukuconnect ni chap
 
Hapo ndo napowapendea hawana shanapa..kuna jamaa yangu ananielekeza mambo adi naona ka movie ye hajui kuhesabu no..ni watu ambao ukihitaji kuchange wanaweza kutumika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…