Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kwa nini nijipe majukumu makubwa ivyo na wakati by the time bado nilikuwa tegemeziKiislam.hayo ni majukumu ya mwanaume.kujua mkewe atakula nini..nani atafanya usafi.ila tu wanawake majukumu yao ni kuzaa na kulea familia tu.wewe ndo mwenye jukumu la kumpikia.