Mvuti eti nayo ni dar!Utakuta anajisifu anaishi dsm kumbe yupo yombo makangarawe
Kumbe dar hatujui kuandika kiasi hiki. Me nahama[emoji2]watu wambeya mpooooo njooni huku tuwasute.
(1)
Wakija dar hupenda kwenda hotel in nakugiza wali nyama au ugali nyama choma.
wakisha ulizabei,utamuona anakohoa nakumwambia mhudumu punguza kidogo.
enyiwatu wambeya hukusiokwenu mkiona chakulakinabei, mwambie shemeji akupikie ujenacho
(2)mkija huku kwetu kilakitu kipo
wanawake weupe wazuri wanyekuvutia wapo
siokama kwenu wanawake mmewakomaza hadishep hawana
(3)sehemu zastarehe hadimunachoka wenyewe,
Mnapenda mambo yawaganga yanapatikana dar
(4)mkifika dar fateni mlichofata.
Watu wambeya Ndiomnao ongoza kuibiwa hapa dar.
dar itabaki kuwa dar haiwezibadirika kuwa mwanjelwa au mlowo au tukuyu.
Nawatakia usikumwema.
Atakua Msukuma huyoWe kabila gani hata kuandika kiswahili hujui kenge wew
Hapana anatumia tecnohuenda bado mwanafunzi darasa la 2
Itakua yupo Mkuranga kwa Mwanambaya uyuUtakuta anajisifu anaishi dsm kumbe yupo yombo makangarawe
Green city[emoji3][emoji3]watoto wanashiba mpaka chupi inahamia tako moja[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu wasalimie kina Tuntufye,Tunsume,Ndiko na SekelaUandishi wa ovyo kweli nahisi utakuwa umeokolewa na mafuriko huko mto msimbazi akili bado haijatulia.
Mbeya hatuhangaiki na mambo ya milo ni common tunakula kila tunachotaka.Watoto wetu wanakula wanashiba hadi chupi zinahamia tako moja.Watoto wa mbeya hata chokolaa wanakula mlo kamili bila tunda hawezi kula ndizi,parachichi ,nanasi.
Tuna warembo wenye nguvu akina atuganile,ngukusekela wana makalio ya asili siyo ya sindano kama akina chausiku,mwanaidi wa huko kwenu.
Njoo mbeya uone wanawake walivyopendeza bila mkorogo.Jamani hii mbeya ndiyo israel ya afrika kijani mwaka mzima.Hatujui kiangazi.
Ukitaka joto unasogea kyela nusu saa umefika,ukitaka baridi kali unasogea uyole dakika kumi,ukitaka vuguvugu unasogea mbozi nusu saa.
Ukitaka kwenda marekani kwa Trump unaenda Tunduma saa moja boarder ya akili tanzania nzima afrika mashariki na kati hakunaga kama tunduma.
Ukiwa mbeya unakuwa tayari upo malawi,zambia na msumbiji hivyo ndiyo afrika ya Tanzania.
Msioijua mbeya njooni muone raha ya kuishi mbeya.
Kama uliko maisha yamekupiga na huna mtaji kula shida njoo mbeya mji wa maziwa na asali.
Karibu mbeya ufurahie uwepo wa dunia.Utaliii wa kutosha.Utauona mto utoao maji ya moto kila siku,utakutana na ziwa la ajabu ziwa gosi.Njoo uone daraja la Mungu.
Ukichoka tunakupeleka sumbawanga ukafurahie maisha na utalii wa maana .Utayaona maporomoko ya kalambo falls 300m falling down hadi maji yanageuka kuwa mvuke na yanapotakiwa kutua ni pakavu kabisa unaweza kukaa,maajabu hayo.
Jamani acheni kabisa huku ni raha tu utaona mazoezi ya usafiri wa anga uwapo mbeya au rukwa bila malipo yoyote.
Karibuni mbeya na swanga kwa maisha bora na ya amani.
Karibuni wote mje kujionea uhondo wa mbeya na rukwa.
Wasengerema wa dizaini hii hawataisha.pambana na hali yako aunt.watu wambeya mpooooo njooni huku tuwasute.
(1)
Wakija dar hupenda kwenda hotel in nakugiza wali nyama au ugali nyama choma.
wakisha ulizabei,utamuona anakohoa nakumwambia mhudumu punguza kidogo.
enyiwatu wambeya hukusiokwenu mkiona chakulakinabei, mwambie shemeji akupikie ujenacho
(2)mkija huku kwetu kilakitu kipo
wanawake weupe wazuri wanyekuvutia wapo
siokama kwenu wanawake mmewakomaza hadishep hawana
(3)sehemu zastarehe hadimunachoka wenyewe,
Mnapenda mambo yawaganga yanapatikana dar
(4)mkifika dar fateni mlichofata.
Watu wambeya Ndiomnao ongoza kuibiwa hapa dar.
dar itabaki kuwa dar haiwezibadirika kuwa mwanjelwa au mlowo au tukuyu.
Nawatakia usikumwema.
Ilombawatu wambeya mpooooo njooni huku tuwasute.

daah nlifkiri ni peke yangu niliyepata shida kusoma...Uandishi mbovu kupata kutokea hapa JF
Acha ufala, mbeya mnapapenda sana sema mmezaliwa uko kusiko barikiwa, mnakula kwa shida mbuzi nyieMimi pia mbeya sijawahi paelewa aysee.Ni shida kabisa,balaa kuanzia tabia za watu wake!!!Hakuna cha green city,nendeni bukoba/kagera huko ile kijani ni Amsha