Vituko vya watu mkoani mbeya

Vituko vya watu mkoani mbeya

watu wambeya mpooooo njooni huku tuwasute.
(1)
Wakija dar hupenda kwenda hotel in nakugiza wali nyama au ugali nyama choma.
wakisha ulizabei,utamuona anakohoa nakumwambia mhudumu punguza kidogo.

enyiwatu wambeya hukusiokwenu mkiona chakulakinabei, mwambie shemeji akupikie ujenacho
(2)mkija huku kwetu kilakitu kipo
wanawake weupe wazuri wanyekuvutia wapo

siokama kwenu wanawake mmewakomaza hadishep hawana
(3)sehemu zastarehe hadimunachoka wenyewe,
Mnapenda mambo yawaganga yanapatikana dar

(4)mkifika dar fateni mlichofata.
Watu wambeya Ndiomnao ongoza kuibiwa hapa dar.
dar itabaki kuwa dar haiwezibadirika kuwa mwanjelwa au mlowo au tukuyu.
Nawatakia usikumwema.
Kumbe dar hatujui kuandika kiasi hiki. Me nahama[emoji2]
 
Mleta uzi huna adabu hata kidogo.
Kujisifia vitu vya kijinga tuuu kyeee.
Wanayoyafanya watu wa mbeya ww binafsi katu huwezi na hata nguvu huna ya kufanya hayo.
Watu wa mbeya wana msimamo hawayumbishwi,si waoga wanajiamini lkn ww wa dar panya road tuu ulilala kwa shemeji yako alie oa dada yako.
Endeleeni kuweka vitambaa mfukoni na kubeba empty begs muje mbeya.
 
We ni mzaramo? Eti kwetu.....mbwa koko kabisa ww mla pweza
 
Uandishi wa ovyo kweli nahisi utakuwa umeokolewa na mafuriko huko mto msimbazi akili bado haijatulia.
Mbeya hatuhangaiki na mambo ya milo ni common tunakula kila tunachotaka.Watoto wetu wanakula wanashiba hadi chupi zinahamia tako moja.Watoto wa mbeya hata chokolaa wanakula mlo kamili bila tunda hawezi kula ndizi,parachichi ,nanasi.

Tuna warembo wenye nguvu akina atuganile,ngukusekela wana makalio ya asili siyo ya sindano kama akina chausiku,mwanaidi wa huko kwenu.
Njoo mbeya uone wanawake walivyopendeza bila mkorogo.Jamani hii mbeya ndiyo israel ya afrika kijani mwaka mzima.Hatujui kiangazi.
Ukitaka joto unasogea kyela nusu saa umefika,ukitaka baridi kali unasogea uyole dakika kumi,ukitaka vuguvugu unasogea mbozi nusu saa.
Ukitaka kwenda marekani kwa Trump unaenda Tunduma saa moja boarder ya akili tanzania nzima afrika mashariki na kati hakunaga kama tunduma.
Ukiwa mbeya unakuwa tayari upo malawi,zambia na msumbiji hivyo ndiyo afrika ya Tanzania.
Msioijua mbeya njooni muone raha ya kuishi mbeya.
Kama uliko maisha yamekupiga na huna mtaji kula shida njoo mbeya mji wa maziwa na asali.
Karibu mbeya ufurahie uwepo wa dunia.Utaliii wa kutosha.Utauona mto utoao maji ya moto kila siku,utakutana na ziwa la ajabu ziwa gosi.Njoo uone daraja la Mungu.
Ukichoka tunakupeleka sumbawanga ukafurahie maisha na utalii wa maana .Utayaona maporomoko ya kalambo falls 300m falling down hadi maji yanageuka kuwa mvuke na yanapotakiwa kutua ni pakavu kabisa unaweza kukaa,maajabu hayo.
Jamani acheni kabisa huku ni raha tu utaona mazoezi ya usafiri wa anga uwapo mbeya au rukwa bila malipo yoyote.
Karibuni mbeya na swanga kwa maisha bora na ya amani.
2ce296937a4280a8748d1e87956b4531.jpg
b5296a02817b830c0d96c872ce93a0b1.jpg
5669f89f7f59d66eda52788f2d0be6f3.jpg
17dc4af1474bc66dce9944fd466f33d5.jpg
800aa22b8b268faf4748aab6fc34bd49.jpg
76fae2def2cb19dfe2dee88f5453babd.jpg
380a09467293f52b8be3529aceac56f4.jpg
0dc92865d83e376c1ebccab97ba6fe4c.jpg

Karibuni wote mje kujionea uhondo wa mbeya na rukwa.
Green city[emoji3][emoji3]watoto wanashiba mpaka chupi inahamia tako moja[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu wasalimie kina Tuntufye,Tunsume,Ndiko na Sekela
 
watu wambeya mpooooo njooni huku tuwasute.
(1)
Wakija dar hupenda kwenda hotel in nakugiza wali nyama au ugali nyama choma.
wakisha ulizabei,utamuona anakohoa nakumwambia mhudumu punguza kidogo.

enyiwatu wambeya hukusiokwenu mkiona chakulakinabei, mwambie shemeji akupikie ujenacho
(2)mkija huku kwetu kilakitu kipo
wanawake weupe wazuri wanyekuvutia wapo

siokama kwenu wanawake mmewakomaza hadishep hawana
(3)sehemu zastarehe hadimunachoka wenyewe,
Mnapenda mambo yawaganga yanapatikana dar

(4)mkifika dar fateni mlichofata.
Watu wambeya Ndiomnao ongoza kuibiwa hapa dar.
dar itabaki kuwa dar haiwezibadirika kuwa mwanjelwa au mlowo au tukuyu.
Nawatakia usikumwema.
Wasengerema wa dizaini hii hawataisha.pambana na hali yako aunt.
 
Ilomba
 
Dah... Cha ajabu Mbeya MTU anaweza kukaa dakika45 kwenye daladala kwa safari ya dakika 15 kwa miguu[emoji87]
 
Mimi pia mbeya sijawahi paelewa aysee.Ni shida kabisa,balaa kuanzia tabia za watu wake!!!Hakuna cha green city,nendeni bukoba/kagera huko ile kijani ni Amsha
Acha ufala, mbeya mnapapenda sana sema mmezaliwa uko kusiko barikiwa, mnakula kwa shida mbuzi nyie
 
Back
Top Bottom