MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
- Thread starter
- #41
Huo ujinga wako usituletee sawa!!Tunahitaji katiba bora. Yaani urafiki wa mtu mmoja unasababisha hasara ya taifa.
Shida ni Raila ashinde au?
Think twice , Uhuru na Chadema anasababisha wakenya wakoswe chakula kwa sababu ya Raila na Padlock?.
Tunaoumia ni wakulima wa Tz na walalahoi wa Kenya.
Mungu anawaona
Unahusisha Uongo na uzushibwako kwenye vitu vya msingi
unajua njaa wewe!
Niwapi wakulima wamevuna vyakula vyaziada na kulalamikia hakuna soko Mwaka huu!