Vituko;- WAKENYA WATUA NCHINI TANZANIA KUDAI MAHINDI YAO

Huo ujinga wako usituletee sawa!!
Unahusisha Uongo na uzushibwako kwenye vitu vya msingi
unajua njaa wewe!
Niwapi wakulima wamevuna vyakula vyaziada na kulalamikia hakuna soko Mwaka huu!
 
Kweli Wanadamu nishida sana
wewe kinacho kusumbua nichuki tu
huna lazaidi
hali yachakula huioni!
Kesho muanze kupiga makelele kwa serikali tena njaa!!
Hao Niwakupuuzwa tu
 
Hawa wakenya kazi wanayo
Magu siyo wa mchezo
 
Na mshukuru wazungu waliowaachia viwanda mnavyotumia kutuuzia Colgate.Lkn ,attentio Tz ya viwanda inakuja tuone mtakapouza hizo bidhaa zenu...
 
Tuuze unga siyo mahindi.kuongeza thamani pia kutoa ajira hapa nchini. Lakini pia lazima serikali isimamie kiasi cha kuuza nje mahindi si kahawa au chai. Itakuja njaa hapa na hao hao wananchi wataitaka serikali iwasaidie chakula.
 
Wakenya mnatakiwa mjue tunaposema Tanzania ya viwanda tunamaanisha Tanzania ya viwanda, mahindi hayatoki viwandani bali shambani.

Tutauza unga tu
 
Kuna vitu vyakuleta masiala sio Hili sawa!!
Hivi unaijua njaa?
Sikua na nia yakuleta masihara kwani njaa ni mbaya na haikubaliki. Lamsingi ni mazingira yaandaliwe kuchukua mahindi toka kwa wakulima yasiharibike mikononi mwao kwani hawana uwezo wakuyahifadhi zaidi ya kuwazuia wasiuze nje ilihali hakuna mipango yakuyachukua
 
Siungi mkono mawazo yako
Hali ikiwa mbaya nyie ndie wakwanza kupiga kelele tena.
Wazuie tu naana Hali sio nzuri ya chakula
Kipi bora, yazuiliwe yaharibike mikononi mwa wakulima au yaunzwe wakulima walipe madeni na kuboresha maisha yao km wafanyakazi wengine! Lamsingi ni yaandaliwe mazingira ya kuyachukua yasiharibike mikononi mwa wakulima wetu
 
Kilimo cha zao la mahindi ni biashara kichaa. Yanakuwa mali yako wakati hayajavunwa ukivuna tu yanageuka na kuwa mali ya umma na huna uwezo wa kuamua uuze wapi au umuuzie nani.
 
Kwani mkuu soko la mahindi la ndani hali jitosherezi? kwa mimi sioni haja ya kwenda kuuza nje ya nchi wakati sisi tunakufa na njaa..

Hao wafanya biashara toka nje wanao nunua kwetu vyakula ndiyo wanao fanya vyakula vipande bei kwa kasi...!

Kama mahindi yatakuwa yana patikana nchini upandaji wa bei utakuwa mdogo na upatikanaji wake utakuwa sio mgumu..sasa kila mtu akitaka kuuza nje ndo ile mpaka mwezi wa 12 utakuta debe la mahindi ni elfu 30000 nchi inatangaza njaaa...

Kwa Mahindi na nafaka zingine ndani ya nchi kuna soko kubwa tu...
 
Wakenya mnatakiwa mjue tunaposema Tanzania ya viwanda tunamaanisha Tanzania ya viwanda, mahindi hayatoki viwandani bali shambani.

Tutauza unga tu
Kwa kweli hii ni TZ ya vi wonder
 
Msimu huu hakuna mahindi yakuharibika
Hali ni mbaya mvua hazikunyesha sehemu nyingi ya nchi
 
Kipi bora, yazuiliwe yaharibike mikononi mwa wakulima au yaunzwe wakulima walipe madeni na kuboresha maisha yao km wafanyakazi wengine! Lamsingi ni yaandaliwe mazingira ya kuyachukua yasiharibike mikononi mwa wakulima wetu
Sioni Mahindi yakuharibika Msimu huu
wacheni Uongo
 
Waliosema adui muombee njaa hakukosea.
Jeuri ya Wakenya imekwisha. Wanakuja kubembeleza mahindi bongo.
 
LDC inanyorosha DC...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Waliosema adui muombee njaa hakukosea.
Jeuri ya Wakenya imekwisha. Wanakuja kubembeleza mahindi bongo.
Rubbish, hiyo mahindi imelipiwa. It's either wapewe mahindi yao ama warudishiwe hela zao, hakuna cha kubembeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…