Vitumbua vya mayai

Vitumbua vya mayai

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
vitumbua shira.JPG

Umechoka kunywa chai na vitafunwa vya aina moja kila siku leo pika vitumbua venye radha tofauti ufaidi chai yako ya asubuhi:

Mda dakika 50

Vipimo

Unga - 2 gilasi(wa mchele)

Mayai - 4

Hamira - 2 vijiko vya chai

Maziwa ya maji - 2 gilasi

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

  1. Weka mayai katika bakuli kisha yachanganye vizuri.
  2. Tia maziwa koroga.
  3. Tia hamira, koroga.
  4. Tia unga uchanganye vizuri.
  5. Weka uumuke, ukiwa tayari choma/pika kama unavyopika vitumbua vya kawaida.
  6. Vikishapoa weka kwenye sinia na mimina shira ukipenda vikiwa tayari kuliwa.
 
Kwa wasiofahamu Shira ni hii

Shira:

Sukari - 1 gilasi

Maji - 2 gilasi

ladha - hiliki au arki (rose flavour) n.k - 5 matone

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

  1. Weka vitu vyote pamoja katika sufuria uweke motoni ichemke kidogokidogo hadi iwe tayari. Isiwe nzito, bali nyepesi.
  2. Tia ladha, iache ipowe na kuwa tayari kumiminwa juu ya vitumbua
 
Umechoka kunywa chai na vitafunwa vya aina moja kila siku leo pika vitumbua venye radha tofauti ufaidi chai yako ya asubuhi:

Mda dakika 50

Vipimo

Unga - 2 gilasi(wa mchele)

Mayai - 4

Hamira - 2 vijiko vya chai

Maziwa ya maji - 2 gilasi

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

  1. Weka mayai katika bakuli kisha yachanganye vizuri.
  2. Tia maziwa koroga.
  3. Tia hamira, koroga.
  4. Tia unga uchanganye vizuri.
  5. Weka uumuke, ukiwa tayari choma/pika kama unavyopika vitumbua vya kawaida.
  6. Vikishapoa weka kwenye sinia na mimina shira ukipenda vikiwa tayari kuliwa.
Duh. Nyumba ndogo mtatuua jamani,mtuonee huruma.
 
Back
Top Bottom